Kama ana pengo akaweke jino bandia.Wakuu habari tokea Kijana fundi toka Brazil neymar Jr aondoke nou camp kwakweli pengo lake linaonekana licha ya barca kujaribu kuziba kwa kuwanunua dembele na coitinho ambao wanaonekana kushindwa kuvaa viatu vya kijana huyo machachari
Unabisha ukweli wewe? ukiacha unafik yule dogo pale kaacha shimo.nani kasema ?
Shimo gani team ndyo inacheza vizuri kulipo alipokuwepo.Unabisha ukweli wewe? ukiacha unafik yule dogo pale kaacha shimo.
Pengo linaloweza leta taabu ni Messi pekee,saa hii Barca anapigana on 3 fronts-treble inahusu
Shimo gani team ndyo inacheza vizuri kulipo alipokuwepo.
Labda kaacha shimo Madrid
Mkuu kisa game ya Jana kutoa sare fatilia game vizuri mkuu
Cku mesi akistafu soka FC Barcelona ndo kutakuwa na Pengo ambalo kuliziba kwake itachukua miaka mia. Hao kina Neymar coutinho dembele ni vilaza mbele ya messi. Angalau Suarez angeondoka angetuachia Pengo