Pengo la Neymar kwenye timu ya Barcelona halizibiki

Pengo la Neymar kwenye timu ya Barcelona halizibiki

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu habari tokea Kijana fundi toka Brazil neymar Jr aondoke nou camp kwakweli pengo lake linaonekana licha ya barca kujaribu kuziba kwa kuwanunua dembele na coitinho ambao wanaonekana kushindwa kuvaa viatu vya kijana huyo machachari
 
Kama ana pengo akaweke jino bandia.
 
Dembele anacheza right wing wakati coutinho ni midfielder.

Sasa unavyosema wameletwa kuziba pengo la Neymar mimi nabaki najiuliza, hivi hua unaangalia mpira au hua unasikiliza redioni?

Pili, hakuna professional player ambae pengo lake linazibika.

Hapa barca wamepita vigogo wengi wakiwemo Maradona na Ronaldinho, lakini barca imeendelea kuwepo!

So, take a chill pill!
 
Pengo linaloweza leta taabu ni Messi pekee,saa hii Barca anapigana on 3 fronts-treble inahusu
 
Pengo linaloweza leta taabu ni Messi pekee,saa hii Barca anapigana on 3 fronts-treble inahusu

Jackline katika ubora wako. Hapo umemaliza kila kitu na mjadala ufungwe. Haters hawakuiona hii comment watatamani ardhi ipasuke
 
Mkuu kisa game ya Jana kutoa sare fatilia game vizuri mkuu

Barca huwa inazidiwa pale Messi anapokuwa nje. Mechi ya jana ingeisha 1-0. Messi kaingia ikawa ndio sababu ya upatikanaji wa lile goli.

Nashukuru Mungu katika uhai wangu kumshuhudia kiumbe huyu kuwahi kutokea.
 
Cku mesi akistafu soka FC Barcelona ndo kutakuwa na Pengo ambalo kuliziba kwake itachukua miaka mia. Hao kina Neymar coutinho dembele ni vilaza mbele ya messi. Angalau Suarez angeondoka angetuachia Pengo

Umeongea fact kamanda. God bless you!

20180206_005128.png
 
Back
Top Bottom