Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533

USA๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ anazidi kupaa tu kila mwaka.

Russia hayupo tena top 10.

Putin anapotea Maxima

Kwa hiyo gap, China apambane Sana, alafu ana population kubwa, 1.4 billion, mwenzie familia ndogo.

Labda miaka 200 ijayo, anaweza kuwa status ya USA๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
 
Umeshasoma kwamba uchumi wa Marekani unaendesha kwa kukopa hadi wameanza kuwa na mashaka? Kukopa kwao kunatishia uchumi wa dunia nzima hadi world bank wameraise alarm kwa sababu kukopa kwao kunaongeza imterest rate kwa dollar
 
Hao hao walittuaminisha Russia hataweza kusavaivu miezi mitatu baada ya kulambwa sanctions ya kufa mtu. Sasahivi tunashangaa wanaolia ndio walioweka sanctions
Kwani amesha savive??๐Ÿ™„๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
 
China apambane Sana
Kati ya 2005 na 2020, GDP ya China ilikua kutoka 2.3 trillion kufikia 14.9 trillion U.S$

Je, uchumi wa Marekani ulikua kwa kiasi gani ndani ya kipindi hicho?

Gap la uchumi kati ya Marekani na China linaenda likipungua kwa kasi sana

GDP growth between 2000 and 2020

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: 1266%
๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia: 466%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India: 440%
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil: 316%
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Saudi: 300%
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia: 250%
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey: 250%
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea: 220%
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa: 200%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia: 175%
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada: 166%
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA: 108%
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง UK: 85%
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: 77%
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France: 68%
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italy: 63%
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Argentina: 33%
๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan: 6%

Unafikiri kati ya Marekani na China nani anatakiwa akaze?

Ndio maana Marekani anapambana sana kuipiga vita kiuchumi na kiteknolojia China. Ila tunajionea anavyofeli

Huo moto anaopelekewa sio poa
 
China hana ubavu wa kumpita US, at leat rumi ijayo miaka michache yaan jumuiya ya ulaya maana soon inaenda kuwa na kiongozi mmoja na itakuwa kama nchi moja hiyo ndo labda itaweza kimbizana na US but sio hao macho madogo wazee wa bidhaa feki ambao kwanza financkal crisis inawanyemelea sababu ya real estate industry na banks ambazo zipo kwenye hatari ya kukolapse.
 
Ukiangalia data za GDP ujue unakuja kugundua Tanzania ni tajiri kuliko Croatia, GDP ni uongo!
 
China hana ubavu wa kumpita US
Miaka 10 iliyopita gap la uchumi kati ya Marekani na China lilikuwaje ukilinganisha na sasa?

Linaenda likipungua au linazidi kuongezeka?

China imewezaje kuizidi Marekani kwenye GDP by PPP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ