Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

Russia ni kubwa jinga kidogo alitisha kipindi cha vita baridi na huyo china ni mpinzani hewa tu mana kazidiwa mambo mengi tu na US haya wavaa kobazi tumie majini basi IRAN imfikie US tu japo kumpita HAIWEZEKANI
Kwa wanaojua kinachoendelea duniani China ashamvuka USA muda sana.
1)Benki ya China imekopesha sawa ama kuwaiana na IMF&WB.
2)China ana contribute more than 40% ya industrial goods worldwide ilhali USA hafiki hata 20%.
3)China ana dollar reserve kubwa kuliko USA.
NINYI kaeni Jidipii kubwa ilhali GDP haiakisi kipimo halisi cha uchumi.
 
China hana ubavu wa kumpita US, at leat rumi ijayo miaka michache yaan jumuiya ya ulaya maana soon inaenda kuwa na kiongozi mmoja na itakuwa kama nchi moja hiyo ndo labda itaweza kimbizana na US but sio hao macho madogo wazee wa bidhaa feki ambao kwanza financkal crisis inawanyemelea sababu ya real estate industry na banks ambazo zipo kwenye hatari ya kukolapse.
Nani kakudanganya!?
Mpaka sasa China anachangia more than 30% kwenye uchumi wa dunia kwa mujibu wa WB.
Hivi unalijua hilo!?
Naona hapo unaielezea USA sio China.
 
Miaka 10 iliyopita gap la uchumi kati ya Marekani na China lilikuwaje ukilinganisha na sasa?

Linaenda likipungua au linazidi kuongezeka?

China imewezaje kuizidi Marekani kwenye GDP by PPP?
Akikujibu nitag mkuu.
 
Mnakaa mnawawaza US, Russia ,China..wakati nyie hapa kwenu hata katiba mpya imewashinda...mko busy kuangalia GDP ya hao mabwana wakubwa..vipi nyinyi. GDP yenu ni ngapi??
Hizi data tuziangalie kwa lengo la kupata case study ya namna wenzetu wamefika huko..US kafikaje hapo..na hao wengine lkn sio kutumia data kuanza "kuwachamba wengine" et mtu anakasirika kabisa na matusi juu kisa Russia hayupo top 10, lkn hakasiriki wala haumii kwa nini TZ, Uganda au Kenya hazipo hata Top 50??
Waafrika mmelogwa na nani??
 
Back
Top Bottom