Mnakaa mnawawaza US, Russia ,China..wakati nyie hapa kwenu hata katiba mpya imewashinda...mko busy kuangalia GDP ya hao mabwana wakubwa..vipi nyinyi. GDP yenu ni ngapi??
Hizi data tuziangalie kwa lengo la kupata case study ya namna wenzetu wamefika huko..US kafikaje hapo..na hao wengine lkn sio kutumia data kuanza "kuwachamba wengine" et mtu anakasirika kabisa na matusi juu kisa Russia hayupo top 10, lkn hakasiriki wala haumii kwa nini TZ, Uganda au Kenya hazipo hata Top 50??
Waafrika mmelogwa na nani??