Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.
Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana