Pengo lako ndiyo tunaliona sasa

Pengo lako ndiyo tunaliona sasa

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2022
Posts
1,054
Reaction score
1,947
Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.

Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana
 
Tangu baba alipo fariki, mama wakambo anauza vitu vyote vya ndani na imefikia halali nyumbani tena watoto hatuna taarifa.
Tangu juzi gari la baba limepaki ughaibuni, na hatujui hata mama wa kambo alipo maana chumba chake amefunga akaondoka bila taarifa...😪
 
Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.

Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .

Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
 
Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.

Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana
Ukiwa yatima halafu mtu mzima sana, ukiwaambia watu unateseka sababu wewe ni yatima huwa hawakuelewi.
 
Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.

Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana
Inaumiza lkn JK mambo hayakuwa hovyo hivi
 
Magufuli speech zake ilikuwa unaona kabisa watu wanasimamisha shughuli zao kumsikiliza Rais live au kwenye tv anaongea nini.
Ukipita online reviews na nchi nyingine majirani you feel proud hata kusema unatoka Tanzania..
It's a biggest shame now everything he started is dying.
I don't know where this lady is taking the nation now..
 
Mimi siyo mtabiri lakini Faiza, The Loss na yule mpiga mieleka morbidly obese Ze Bigi shooo (na wafuasi wengine wa Mudi/Alaa!) wakitia mguu hapa huu utageuka na kuwa mpambano wa kidini.

Nipo nimekaa paleeee! 😬😬😬
 
Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.

Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .

Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Ushindwe katika jina la Yesu,
 
Magufuli speech zake ilikuwa unaona kabisa watu wanasimamisha shughuli zao kumsikiliza Rais live au kwenye tv anaongea nini.
Ukipita online reviews na nchi nyingine majirani you feel proud hata kusema unatoka Tanzania..
It's a biggest shame now everything he started is dying.
I don't know where this lady is taking the nation now..
Kwakweli,sijawahi msikiliza huyo mama ni bora nimsikilize mwamposa.
 
Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.

Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .

Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Yaliyotokea zambia Malawi Nigeria ndio yanatokea tz.
Raisi kufia madarakani then makamu hadi uchaguzi then chama tawala kinaanguka.
Kiasili ccm ilishakufa JP ndio aliibeba tu Leo hayupo
 
Asante
 
Nenda ofisi za serikali uyaone zaidi. "Unanijua mimi ni nani?" Mambo yamerudi pale pale.
 
Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.

Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .

Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Ndoto ya mchana, wapinzani watachukuaje nchi wakati;
1. Kura haziamui mtu kuwa au kutokuwa Rais
2. Wananchi walio wengi ni wajinga na wanaogopa kuandamana!

Kwa sababu hizi 2,wapinzani kuchukua nchi sahauuuu
 
Mama atachemka mengi, then kuleta faraja kuna namna atatuletea katiba tuifanyie marekebisho, njia ambayo litakua kaburi la CCM...M Zanzibar hana cha kupoteza ikiwa hio katiba mpya itawapa pia Zanzibar kuwa nchi kamili.

Mama am sure hata yeye anajiona hafit kabisa
 
Back
Top Bottom