Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Ukiwa yatima halafu mtu mzima sana, ukiwaambia watu unateseka sababu wewe ni yatima huwa hawakuelewi.Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.
Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana
Inaumiza lkn JK mambo hayakuwa hovyo hiviKwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.
Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza matumaini kwa mda mfupi sana,niseme imekuwa kama mmefiwa na baba ambaye alikuwa anawanyoosha kisawasawa halafu mmebakiwa na mama anayewadekeza halafu analala inje,kuna wakati mnakaa mpaka wiki bila kumuona
Inasikitisha sana
Ushindwe katika jina la Yesu,Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.
Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .
Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Kwakweli,sijawahi msikiliza huyo mama ni bora nimsikilize mwamposa.Magufuli speech zake ilikuwa unaona kabisa watu wanasimamisha shughuli zao kumsikiliza Rais live au kwenye tv anaongea nini.
Ukipita online reviews na nchi nyingine majirani you feel proud hata kusema unatoka Tanzania..
It's a biggest shame now everything he started is dying.
I don't know where this lady is taking the nation now..
Yaliyotokea zambia Malawi Nigeria ndio yanatokea tz.Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.
Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .
Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Yesu ndio nani? Usije kuwa unasema tu Yesu(Jesus) kumbe hata ni Jesus Moroko wa Yanga.Ushindwe katika jina la Yesu,
AsanteYaliyotokea zambia Malawi Nigeria ndio yanatokea tz.
Raisi kufia madarakani then makamu hadi uchaguzi then chama tawala kinaanguka.
Kiasili ccm ilishakufa JP ndio aliibeba tu Leo hayupo
Ndoto ya mchana, wapinzani watachukuaje nchi wakati;Personal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.
Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .
Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.
Mama atachemka mengi, then kuleta faraja kuna namna atatuletea katiba tuifanyie marekebisho, njia ambayo litakua kaburi la CCM...M Zanzibar hana cha kupoteza ikiwa hio katiba mpya itawapa pia Zanzibar kuwa nchi kamili.Ndoto ya mchana, wapinzani watachukuaje nchi wakati;
1. Kura haziamui mtu kuwa au kutokuwa Rais
2. Wananchi walio wengi ni wajinga na wanaogopa kuandamana!
Kwa sababu hizi 2,wapinzani kuchukua nchi sahauuuu