Pengo lako ndiyo tunaliona sasa

Hama nchi
 
Yaliyotokea zambia Malawi Nigeria ndio yanatokea tz.
Raisi kufia madarakani then makamu hadi uchaguzi then chama tawala kinaanguka.
Kiasili ccm ilishakufa JP ndio aliibeba tu Leo hayupo
na ndio kosa lake kubwa. kubeba kitu kilichokufa.

Yesu ni Njia, Kweli, na Uzima.
 
Ndoto ya mchana, wapinzani watachukuaje nchi wakati;
1. Kura haziamui mtu kuwa au kutokuwa Rais
2. Wananchi walio wengi ni wajinga na wanaogopa kuandamana!

Kwa sababu hizi 2,wapinzani kuchukua nchi sahauuuu
MUNGU akiamua yote yanawezekana. it's just a matter of time!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Popoma mmoja wewe.
 

Yahya Hussein alitabirije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…