roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
Hama nchiPersonal toka afariki JPM , Nchi haina Rais.
Katiba ya ovyo hii, makamu kurithi kitu, yaani Samia hana Baraka zetu wananchi.
Utabiri wa Yahya Hussein, kuwa anafuata ni mpinzani pengine ikatokea,maana mpaka anaondoka huyu Bibi atakuwa kawapa points wapinzani .
Ni mtu Wa ovyo sana Samia kama ndugu zake Mwinyi & JK.