salumu chuma
New Member
- Sep 19, 2016
- 1
- 0
Kaanzisha stori nyingineLege sijui kama nimekuelewa mkuu! Unawndelea kutupia au ndo mpaka kesho tena?
Wapi mkuuKaanzisha stori nyingine
Hivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?haina shida mkuu ila plz plz plz plz .isije ikawa ni kama vitabu vya msiba kuna kitabu kile cha kisasi ni kama kina laana ukimwazima mtu hakiwezi kurudi na ukizubaa lazima kiibiwe
VYA MSIBA KUVIPATA NI SHIDA SANA MKUU lakini vya joram kiango like tutarudi na roho zetu,ni zamu yako kufa,roho ya paka,mtambo wa mauti,mikataba ya kishetani ,dar es salaam usiku n.k vinapatikana hapa dar sehem nyingi hata mwenge pale kwenye stend ya mwenge ukiwa unatokea tegeta hapo efata kuna muuza magazeti anavyo au kinondoni DUKA LA RIWAYA unavipata mkuu muuzaji 0655428085 anaitwa zamira au mwanae wa mtobwa yupo humu humu anaitwa nameless girl kama sijakosea id yakeHivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?
mkuu tuvute subira kidogo season ya 5 itakuwa kubwa na yakumalizia na ndio ya mwisho hivyo wakati tunasubilia unaweza ukashushia na hii BEFORE I DIE shushia week end hii mkuu.Lege sijui kama nimekuelewa mkuu! Unawndelea kutupia au ndo mpaka kesho tena?
kama ndoa yako yakimabutubutu mkuu kimbilia hapa uendelee kukesha tuu BEFORE I DIENaona tukadumishe ndoa tu kwani kwa Leo tena hakuna namna !!
mkuu tuvute subira kidogo season ya 5 itakuwa kubwa na yakumalizia na ndio ya mwisho hivyo wakati tunasubilia unaweza ukashushia na hii BEFORE I DIE shushia week end hii mkuu.
hiyo nimeiweka kama kitafunio shushia ya peniela mkitaka naweza nikaimaliza week end hii nyie tuu speed yenu ya usomaji wakuuNimekuelewa sana lege, hivo b'4 i die tutaimaliza yote weekend hii au tutaikatisha ili tuendelee na penny?
Vipi ni ya kijasusi kama ya Pen, nisijekuwa nang'ang'ana kumbe ni habari za vitumbua kupakwa mate.hi
hiyo nimeiweka kama kitafunio shushia ya peniela mkitaka naweza nikaimaliza week end hii nyie tuu speed yenu ya usomaji wakuu
ahahahahahaha mkuu ukitaka za kijasusi sana sana utazipata kwenye vitabu maana waandishi wengi kwenye magroup yao ya watsaap wanaandika za mapenzi coz ndio zinawashabiki na wapenzi sanaVipi ni ya kijasusi kama ya Pen, nisijekuwa nang'ang'ana kumbe ni habari za vitumbua kupakwa mate.
Hivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?
Haa wewe mchoyo nakumbuka nilikuomba hicho kitabu.kila nikienda kuuliza block 41 naambiwa bado.uniazime ila sipo tena darhaina shida mkuu ila plz plz plz plz .isije ikawa ni kama vitabu vya msiba kuna kitabu kile cha kisasi ni kama kina laana ukimwazima mtu hakiwezi kurudi na ukizubaa lazima kiibiwe