Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Lege sijui kama nimekuelewa mkuu! Unawndelea kutupia au ndo mpaka kesho tena?
 
LEGE kesho ni wkend tufikirie katika hali ya kipekee mkuu ili tumalize hii utuletee kisu kingine
 
haina shida mkuu ila plz plz plz plz .isije ikawa ni kama vitabu vya msiba kuna kitabu kile cha kisasi ni kama kina laana ukimwazima mtu hakiwezi kurudi na ukizubaa lazima kiibiwe
Hivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?
 
Hivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?
VYA MSIBA KUVIPATA NI SHIDA SANA MKUU lakini vya joram kiango like tutarudi na roho zetu,ni zamu yako kufa,roho ya paka,mtambo wa mauti,mikataba ya kishetani ,dar es salaam usiku n.k vinapatikana hapa dar sehem nyingi hata mwenge pale kwenye stend ya mwenge ukiwa unatokea tegeta hapo efata kuna muuza magazeti anavyo au kinondoni DUKA LA RIWAYA unavipata mkuu muuzaji 0655428085 anaitwa zamira au mwanae wa mtobwa yupo humu humu anaitwa nameless girl kama sijakosea id yake
 
Mkuu LEGE hii bundle unayotumia kucomment ungeshusha season 5 tumalize kabisa hii shughuli mkuu
 
Naona tukadumishe ndoa tu kwani kwa Leo tena hakuna namna !!
 
mkuu b
Mkuu LEGE hii bundle unayotumia kucomment ungeshusha season 5 tumalize kabisa hii shughuli mkuu
ado haija iva vizuri.kuna watu wamekwenda jikoni kuzima moto aisee.ili kutulaza njaa.
 
mkuu tuvute subira kidogo season ya 5 itakuwa kubwa na yakumalizia na ndio ya mwisho hivyo wakati tunasubilia unaweza ukashushia na hii BEFORE I DIE shushia week end hii mkuu.

Nimekuelewa sana lege, hivo b'4 i die tutaimaliza yote weekend hii au tutaikatisha ili tuendelee na penny?
 
hi

hiyo nimeiweka kama kitafunio shushia ya peniela mkitaka naweza nikaimaliza week end hii nyie tuu speed yenu ya usomaji wakuu
Vipi ni ya kijasusi kama ya Pen, nisijekuwa nang'ang'ana kumbe ni habari za vitumbua kupakwa mate.
 
h
Vipi ni ya kijasusi kama ya Pen, nisijekuwa nang'ang'ana kumbe ni habari za vitumbua kupakwa mate.
ahahahahahaha mkuu ukitaka za kijasusi sana sana utazipata kwenye vitabu maana waandishi wengi kwenye magroup yao ya watsaap wanaandika za mapenzi coz ndio zinawashabiki na wapenzi sana
 
Hivi vitabu kama Njama, kikosi cha kisasi, tutarudi na roho zetu vinapatikana wapi mkuu?
1474663733215.jpg
vitabu vinapatikana hapo ilala Amana karibu na Boa Bank
 
haina shida mkuu ila plz plz plz plz .isije ikawa ni kama vitabu vya msiba kuna kitabu kile cha kisasi ni kama kina laana ukimwazima mtu hakiwezi kurudi na ukizubaa lazima kiibiwe
Haa wewe mchoyo nakumbuka nilikuomba hicho kitabu.kila nikienda kuuliza block 41 naambiwa bado.uniazime ila sipo tena dar
 
Back
Top Bottom