Vile vitabu ukianza kusoma ni sawa na onyo la dawa " weka mbali na watoto" acha vyote ili usome kwa raha. Ni zaidi ya Penny ingawa nilikuwa mdogo lakini kuna undava, timbwili na figisufigisu ya kufa watu.Hivyo vitabu dhima yake hasa ni nini mkuu? Au ndo Peniela type?
Yaa upo sahihi nimeipitia lkn haijanipendeza hata robo
Mmh [emoji134] [emoji134]Baada ya kutafakari kwa makin nimegundua lege ameanza kulinga kama bongo movie sasa nimeamua kutunga na mm story ya kijasusi inayoenda kwa jina la SHUNIE hii ni zaidi ya story ntaanza kuiweka kesho mtasahau hii na mm kila siku ntakua nashusha mzingo wa kutosha
Jaji elbarik umeanzaeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu LEGE kwa vile leo wkend unaweza ukamwaga muda wowote ukiwa free then kila mtu atajipimia kutokana na ufree wake.
Sure! hapa mwendo wa kijasusi na kutembezeana mikono vululu[emoji109] [emoji109] [emoji109], ajitahidi kutuletea story za mlengo huu patanoga sana.Yes,kwa hiyo mkuu LEGE asitusahau baada ya kuanzisha kitu kipya sisi tupo hapahapa jana leo na kesho ..
Ni ya kijasusi au malavidav kabla sijaenda huko.....vinginevyo nisubiri tu kumaliza hapa ili ninganishwe kuchezea sauti ya gaidiHuku leo naona tumeachwa kwenye mataa, wakuu nendeni kula mkasome Before I Die. LEGE amewaletea kitu kipya. Mimi hadi hii iishe ndio nitaanza nyingine
Scott, ni mwisho. Kila kilichokua kinapita mbele yake ni twende tu.Peniela anapenda ngono Kama Scott kwenye strike back na Ina msaidia kipata details muhim na connection
Cjui hata kale ka ugonjwa hakafikilii? Kunasiku atapimwa na kukuta anako....Scott, ni mwisho. Kila kilichokua kinapita mbele yake ni twende tu.
Ahsante mkuu0655428085 piga namba hiyo hata kama upo mkoani unaagiziwa mkuu
Mimi hata sijataka kusoma kujua ni ya nini maana sitaki kuchanganya madesa. We nenda tu LEGE hanaga hiyana.Ni ya kijasusi au malavidav kabla sijaenda huko.....vinginevyo nisubiri tu kumaliza hapa ili ninganishwe kuchezea sauti ya gaidi
huwezi kukisoma mkimbizi ukakimaliza kwa siku 2 mkuu.Mkuu Lege,
Fanya hivyo jamaa yangu, siku mbili nitakuwa nimemaliza kila kitu. Hapa Dar nipo mpaka mwezi wa kumj mwishoni... Ulionambia kipo, hapa koo limenikauka mate kwa hamu..!!!
Please mkuu, fanya hivyo Tafadhali
BACK TANGANYIKA
mm vitabu vyote vya msiba nimesoma na kama unataka story zake naweza nikakupatia nikifungua kwenye makarabrasha yangu ya soft copy. hivyo vitabu vya msiba hata uje unatoa mchozi sikuazimi.Vile vitabu ukianza kusoma ni sawa na onyo la dawa " weka mbali na watoto" acha vyote ili usome kwa raha. Ni zaidi ya Penny ingawa nilikuwa mdogo lakini kuna undava, timbwili na figisufigisu ya kufa watu.
Habari za asubuhi Mkuu LEGE, vipi ratiba ya Leo ni SAA 2:00usiku kama siku za Kazi? Itaingiliana na mpira, kama vipi turushie tushinde nayo. Thank you for your good service Boss.
Mkuu niko mbali na Dar hivyo hata wazo la kuazima sina ila nitafurahi ukinitumia soft copy kwenye inbox yangu.mm vitabu vyote vya msiba nimesoma na kama unataka story zake naweza nikakupatia nikifungua kwenye makarabrasha yangu ya soft copy. hivyo vitabu vya msiba hata uje unatoa mchozi sikuazimi.