Peniela (Story ya kijasusi)

mkubwa vitabu vya msiba kama kikosi nitapata hapo?? na kitabu cha unyama wa mafia part 2 cha zahir aly zoro nitakipata hapo mkuu .plz plz kama vipo nitajie bei nikutumie pesa kabisaa mkuu
Mpaka mwakani tena nikija dar kama utakuwa nacho.mwisho nimejuta kukisoma maana napenda kujua story imeishia vipi
 
Poa asante ila si kuna hadithi nyengine tutasoma hiyo
 

Sawa Mkuu.
 
huwezi kukisoma mkimbizi ukakimaliza kwa siku 2 mkuu.

tutafutane nitakuazima ila shaka yangu kukirudishaa.

Naku-Pm sasa hivi mkuu,


Kile kitabu nilisomaga kufikia katikati ilikuwa ni kwenye gazeti la Kiu kama sikosei kabla hajatoa Kitabu..!! So ninaimani kuanzia pale nilipoishia mpaka mwisho, nitakuwa nimemaliza ndani ya hizo sikubmbili.

Naomba uondoe shaka juu ya kurudisha, nitafanya kila utakaloniambia ili kuniamini. Hata ikibidi kubond fedha mkuu nitafanya hivyo.

BACK TANGANYIKA
 
Hata mm nilianza kusoma Riwaya za ujasusi nikiwa darasa la nne. Kuna kitabu kungine cha Msiba kinaitwa Hofu sioni mkikiongelea.
 
Hofu cha Msiba ninacho alie mwanza ani inbox nimuazime.
 

Mkuu ni hadi lini?
 
KAMA VIPI TUPIA ZA EILLY GAMBA Mkuu Maana umesema soft copy unazo Hadith zote
 
mm vitabu vyote vya msiba nimesoma na kama unataka story zake naweza nikakupatia nikifungua kwenye makarabrasha yangu ya soft copy. hivyo vitabu vya msiba hata uje unatoa mchozi sikuazimi.
Ivyo vya msiba boss itabid tuongee vzr maana juz nimesoma UCHU nimeikuta umu JF na uzur ipo mwanzo mwisho jamaa ni noma
 
Hofu cha Msiba ninacho alie mwanza ani inbox nimuazime.
Duh kumbe uko mwanza kuna watu wamenipa kaz ya kuwasajilia trade mark wapo sauth africa kaz iyo inafanyika kwa dollah 2500 niltaka unisaidie kufanya tugawane mpunga ukiingia maana mm cjui vinafanyikaje ingawa najua brela ndo wanasajir
 
Reactions: Ilu
Afadhali hadithi imesimama maana tangu ianze sikuweza kufanya Kazi yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…