Peniela (Story ya kijasusi)

[emoji102][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
How long?
 
A
Ni vitabu bora kabisa vya kijasusi kuwahi kutokea nchini,kama umewahi kumsikia WILLY GAMBA, huyo ndiye mhusika mkuu
Ahsante sana Ndungu, ngoja nivitafute sikuwahi visoma, ila huyu jamaa niliona tu watu wanamsifia ila sikufatilia, hizo nondo zitakua za hatari sana
 
Daahh mpaka nahisi kuumwa brain disorder kabisa
Mkuu bora wewe brain tu mimi body yote imecollapse kwisha habari.I need something to cool down.Naomba mwenye kali ya kimafia.kiterrorist au kijasusi atumwagie kabla munkari haujaisha wakuu.
 
Vile vitabu ukianza kusoma ni sawa na onyo la dawa " weka mbali na watoto" acha vyote ili usome kwa raha. Ni zaidi ya Penny ingawa nilikuwa mdogo lakini kuna undava, timbwili na figisufigisu ya kufa watu.
Naomba location mkuu, wapi saivi naweza pata nakala zake?
 
Mkuu LEGE kwa ajili ya kulinda heshima yako humu ndani tunakutegemea ushushe kitu kingine cha kijasusi soon ili tuendelee kukuona tusikusahau mkuu.tafadhali jitendee haki una jina kubwa sana humu.
 
mm vitabu vyote vya msiba nimesoma na kama unataka story zake naweza nikakupatia nikifungua kwenye makarabrasha yangu ya soft copy. hivyo vitabu vya msiba hata uje unatoa mchozi sikuazimi.
Mkuu LEGE, naomba Hata hizo soft copy kama inawezekana.
 
Watu na riwaya zao nasikia kitabu cha Rais anampenda mke wangu mtunzi erick shigongo ni kizur sana mwenye nacho tafadhar
 
mkuu kupata vitabu vya msiba ni ishu sana lakini kama unataka story hiyo ya HOFU soft copy unaweza kuipata .nikutumie
Mkuu LEGE kama inawezekana nilikuwa naomba soft copy za vitabu vya kiswahili ulivyo navyo,natanguliza shukrani mkuu
 
Watu na riwaya zao nasikia kitabu cha Rais anampenda mke wangu mtunzi erick shigongo ni kizur sana mwenye nacho tafadhar
Mkuu kitafute ukisome hutojuta. Shigongo nakumbuka alitoa vitatu 3 ambavyo awali alianza kuchapisha kwenye magazeti. Vyote ni vizuri sana isee. Sijui kwa nini siku hizi hajatoa vitabu vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…