Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Naomba location mkuu, wapi saivi naweza pata nakala zake?
Mkuu vitabu hivi havipatikani ktk bookshops labda nakala kwa baadhi ya watu walio navyo na wanaojisema kama Mkuu Lege & Ilu vinginevyo hii ni bidhaa adimu sana sokoni ingawa ni vya snalog.
 
Why inakua ngumu kuweka mkimbizi na mdunguaji lege?
mkuu siunajua hizi ni kazi za watu na wana hati miliki nazo na nikosa kuiweka hapa bila idhini yao.hussen tuwa yupo hai na sasa wana umoja wao unao itwa UWARIDI kitu moja wapo wanachokisimamia ni hiki cha kusambaza kazi zao bila idhini yao kama unataka hizo story kama mdunguaji na mkimbizi vitabu vipo na vinatumika mpaka vyuoni so nunua tu vitabu mkuu wangu. tena kama cha mdunguaji vipo vingi san
 
Kwa nini Msiwashauri wauze vitabu kwa njia ya Mtandao??
 
Mkuu vitabu hivi havipatikani ktk bookshops labda nakala kwa baadhi ya watu walio navyo na wanaojisema kama Mkuu Lege & Ilu vinginevyo hii ni bidhaa adimu sana sokoni ingawa ni vya snalog.
Ahsante, ngoja nivitafute
 
Mkuu hyo uchu inapatikanaje?

Maana m baada ya kusitishwa kwa peniel nimekuwa disapointed balaa, najizuia nisisome nyingine nikaishia kati,

Huwa akili inastack kabisa
Mkuu, hiyo hapo ila walioweka hawakupangilia vizuri hasa font.
Riwaya: UCHU
 
Back
Top Bottom