Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Mkuu story ya Willy Gamba ambayo plot ilikuwa Nairobi wahusika kuna Dr Njoroge kama sikosei..Lulu sijui...nk. ..kitabu hicho kinaitwaje?wapi naweza pata?nakumbuka kusoma hii kitu nikiwa enzi hizo darasa la tatu...

Kufa na Kupona
 
Ile kitu nayo nzuri...mambo ya Umbopa na Kibibi Gagula...pia kuna bwana Henry kule...long time sana nilisoma hii kitu...nakumbuka nilikuwa O level Moshi Technical enzi hizo....

Kinaitwa 'Mashimo ya mfalme suleiman ' mhusika Maarufu Ni Alan-Quataman
 
Kinaitwa 'Mashimo ya mfalme suleiman ' mhusika Maarufu Ni Alan-Quataman

Pia mtunzi wa kitabu hiki ametunga pia 'Safari ya Alan-Qutaman na Wenzake ' ambapo mhusika maarufu Ni 'Umsilopogaas ' aliekua na shoka lake 'Inkoskazi'
 
Mkuu story ya Willy Gamba ambayo plot ilikuwa Nairobi wahusika kuna Dr Njoroge kama sikosei..Lulu sijui...nk. ..kitabu hicho kinaitwaje?wapi naweza pata?nakumbuka kusoma hii kitu nikiwa enzi hizo darasa la tatu...
mkuu huwezi pata vitabu vya willy gamba .vitabu vyake ni kama LUPIA na imani zake ukiwa nacho yakupasa ukihifadhi haswaa. ukiazimisha tuu hakirudi. story za willy gamba nyingi zipo soft copy
 
Back
Top Bottom