Peniela (Story ya kijasusi)

Mwenye mawasiliano YA kuvipta vitabu(hard copy) au soft YA Hadith za kijasusi km za kina Willy Gamba, joram kiango;mdunguaji na zinginezo aweke Humu Maana wengine sio washabiki wa love story
vya joram kiango mwanae tupo naye hapa na ndio anaye lisukuma gurudum na kavaa viatu vya baba yake ben mtobwa anaitwa nameless girl au kama unataka mawasiliano ya muuzaji wa hivyo vitabu ni 0655428085 utapata vya joram kiango na mzee beka na japhet nae yupo vizuri lkn vya willy gamba ni ishu kidogo
 
Pia mtunzi wa kitabu hiki ametunga pia 'Safari ya Alan-Qutaman na Wenzake ' ambapo mhusika maarufu Ni 'Umsilopogaas ' aliekua na shoka lake 'Inkoskazi'
Umsilopogaas amedokezewa kidogo kwenye Mashimo ya Sulemani
 
Dah! Joram Kiango,jamaa ana akili sana ,hajawahi shindwa mission! Inabidi tuwapambanishe na Matthew
 
sasa
Dah! Joram Kiango,jamaa ana akili sana ,hajawahi shindwa mission! Inabidi tuwapambanishe na Matthew
kama umesoma story za joram kiango na willy gamba utagundua kuwa ben mtobwa aliiga uandishi na aina ya wahusika wakuu kwa willy gamba na ukija ukisoma vitabu vya japhet nyang'oro pia utagundua kuwa kaiga uandishi kwa ben mtobwa pia wahusika wakuu. wote watatu wana wahusika watatu ambao hawabadiliki na uhusika wao wa matendo unafanana. mhusika mkuu musiba utampata willy gamba,kwa ben mtobwa utampata joram kiango na kwa japhet utampata jacob matata. na kila mmoja kuna mwanamke na inspekta wa polisi ambaye habadiliki pia
 
[quote uid=76436 name="Kamanda Moshi" post=17784154]Mkuu story ya Willy Gamba ambayo plot ilikuwa Nairobi wahusika kuna Dr Njoroge kama sikosei..Lulu sijui...nk. ..kitabu hicho kinaitwaje?wapi naweza pata?nakumbuka kusoma hii kitu nikiwa enzi hizo darasa la tatu...[/QUOTE]<br />mkuu huwezi pata vitabu vya willy gamba .vitabu vyake ni kama LUPIA na imani zake ukiwa nacho yakupasa ukihifadhi haswaa. ukiazimisha tuu hakirudi. story za willy gamba nyingi zipo soft copy


Hiyo soft copy za Willy zinapatiknaje?
 
Mkuu Lege tuunganishie hizo Riwaya za kijasusi hapa rahisi kwetu kuzipata.
 
Sidhani kama umslopogaaz ametajwa katika mashimo ya Mfalme Suleiman sababu mashimo yalianza kabla ya safari ya Allan quartermein na wenzie ila umbopa ndio katajwa katika safari ya Allan quartermein na wenzie.

Uko SAHIHI Kiongozi , Wewe Ni Mwenzangu Kabisa .
 
Nimegundua Madhara makubwa ambayo yamesababishwa na *USALITI* wa Elibariki .
Inavyoonekana *Lege* kuna namna alikua amejiunganishia mawasiliano na akaweza kupata habari zote kwa Wakati . Sasa kuzimwa kwa simu na Saa ya Kigamba na yeye sasa haoni kinachoendelea!
 
Sidhani kama umslopogaaz ametajwa katika mashimo ya Mfalme Suleiman sababu mashimo yalianza kabla ya safari ya Allan quartermein na wenzie ila umbopa ndio katajwa katika safari ya Allan quartermein na wenzie.
Kwenye mashimo ya mfalme Suleiman kuna mtu anaitwa Umbopa. Huyu jamaa ndiye aliyevuka maji ya shingo bila ya Pu,mbu kulowa. Watu huwa wanamkosea na kumchanganya na Umsolopagaazi Mwana wa Makumazani, akeshaye usiku asiyepitwa na jambo.
 
mbona hapa jf zipo story kibao za willy gamba?? labda kama sio wafuatiliaji sana ngoja nizikusanye zote harafu tuziweke kwenye uzi mmoja iwe rahisi
Itakuwa poa sana Lege.
Kwa upande wangu sijawahi kusoma HUJUMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…