Ngosi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 390
- 189
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaMkimbizi, nilikisoma nikiwa form2. Ni kitabu kzuri sana. Kule yupo Tiga Mumba, it's a very interesting story!!!!!!!!!
Hahahh [emoji8]Nimekupenda Bure
Hiyo story ya kisasi iko wapi walau nijitoe gundu wkt tumepigwa awaiting na legeNajuta kujiingiza kwenye foleni ya kusubiri huduma ya Peniela kama dr jushua.
Hii story naifananisha na ile ya KISASI jinsi Anitha anavocheza na mtandao.
Ipo humu imesha wekwa yote sijajua tu namna ya kukuwekea hiyo link hapaHiyo story ya kisasi iko wapi walau nijitoe gundu wkt tumepigwa awaiting na lege
Sema kweli? Mimi nahitaji Hiyo kisasi. Humu IPO UCHU na HOFU sijaona KISASI humu. Copy Hiyo link na kuiweka hapa.Ipo humu imesha wekwa yote sijajua tu namna ya kukuwekea hiyo link hapa
lakini itafute tu utaipata humu ililetwa na mkuu WILLY GAMBA 1.
Kwenye search andika KISASI then nenda penye RIWAYA KISASISema kweli? Mimi nahitaji Hiyo kisasi. Humu IPO UCHU na HOFU sijaona KISASI humu. Copy Hiyo link na kuiweka hapa.
Nimeipata risasi, asante kwani huenda hii ikanifaa pia.Kwenye search andika KISASI then nenda penye RIWAYA KISASI
Mkuu hiyo Kisasi ninayo sema sio ile kikosi cha kisasi ya Musiba.Sema kweli? Mimi nahitaji Hiyo kisasi. Humu IPO UCHU na HOFU sijaona KISASI humu. Copy Hiyo link na kuiweka hapa.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Hahahh [emoji8]
umejileta kifungoni mwenyeweNimewakimbiza mpaka nimewakamata ngoja sasa nisubiri muendelezo