Peniela (Story ya kijasusi)

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kunawatu duniani wamejaliwa kipaji cha kandika fasihi, ww ni mmoja wao,

Ila karb kwenye folen,
 
 

Mkuu mimi nikajua ni episod Lege katupia kumbe umeandika malalamiko kwa lege nilikuwa nisha jiweka vzr nianze kusoma
 
mwisho wa siku Peny atarudi kwa Elibariki
kuna kila dalili hili kutokea.
 
Nilivokuona tu lege walahi moyo ukaruka kwa furaha, nikajua tayariii
Kumbe umepita kuona tunavyoumia[emoji125] [emoji134] [emoji134]
 
Ulishaambiwa hii ni simulizi ambayo kila unachokitegemea huenda tofauti kabisaaaaa


Kwa season zote nne zilizoisha hakuna hata mmoja kati yetu aliyekuwa anajua kinafuata nini
tusubiri tu tutaona lakini dalili zinaonekana.
Alafu Peny alikili hata mbele ya John kuwa Elibariki ndo mpango mzima.
 
Yaani kila siku naumia na mawazo juu ya binti huyu lakini mdomo unakua mzito kumtamkia. Kibaya zaidi anawapa wengine kila mwanaume anayemtaka lazima amt.ombe nimebaki mimi tu.
Leo sikubali lazima na mimi nimto.mbe peniela tu. Aliendelea kuwaza gambada ynwa
 

Hivi kumbe kuna wengine mnatamani kumbandua Peniela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu sasa uswahili.mjomba lege
Wiki ya tatu au NNE hii dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…