Peniela (Story ya kijasusi)

Wwe unaharibu utamu nyamaza bana Flaviana
 
Umenipoteza hapa sielewi tena
 
"Hata mimi si kwamba nakupenda Anna bali huo ni ushauri kutoka kwa Baba uako na nivyo anavyotaka" [emoji23][emoji23][emoji23]mtongozano wa kibabe
Nimecheka sana hicho kipande[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye hii stori hakuna mpumbavu kama Elibariki
 
Wakuu baada ya peniela nahangaika kutafuta stori kali nyingine, naomba list ya story 5 nyingine nzuri kama ama zaidi ya peniela na queen monica
 
[emoji119]
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
story inaniliaa muda san hii ila ntafika tu tamati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…