Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnithaMPE jina
Yaaa wanafanana kiainaAnitha
Mkuu umezingua hii haiwezi kuwa nyumba ya Matthew.... Matthew ana lijumba flan hivi amazingNyumbani kwa methew
Siyo mchezo kiongoziNikiwa mkubwa nitajenga nyumba ya ya John
Aaah!!!!Mkuu umezingua hii haiwezi kuwa nyumba ya Matthew.... Matthew ana lijumba flan hivi amazing
Ngoja nilitafute aisee... Matthew sio mtu wa mchezo mchezoAaah!!!!
Ebu lilete mi labda nimepiga picha ya zamani
Kuna kitu kinamsukuma kufanya hivyo automatic Kwani wazazi wote wa Peniela waliuwawa na JohnNamhurumia sana John,peniela nae ananibore kumdharau John
Methew atamuoa dada wa kudukua washaanza kwa mbaaliKuna kitu kinamsukuma kufanya hivyo automatic Kwani wazazi wote wa Peniela waliuwawa na John
Mwisho wa story Mathew atamsaidia Peniela kuwajua ndugu zake kwa kupitia matukio yaliyofanywa na john
Anitha ataangukia mikononi Jason kwani keshaonyesha dalili za kumpenda
Jaji Elibariki yeye ataishi na Peniela kwani Flavian atadedi
Mathew atamuoa Anna baada ya Mathew kuyaanika mabaya yote ya baba yake
Dr Joshua yeye atapanda kizimbani baada ya ushahidi kupatikana wa kumuua Edson, mke wake na kutumia ofisi vibaya
Rais mstaafu mr Deus kwa kushirikiana na brigedia........
Niishie hapo kwanza
Wale washazoeana sana kama dada na kakaMethew atamuoa dada wa kudukua washaanza kwa mbaali