Peniela (Story ya kijasusi)

Daah methew aliiacha gari yake mpya siku ya tukio la kwenda kuchukua ile ripoti feki
Jamani watu wana helaa
 

Attachments

  • 1473944562822.jpg
    46.3 KB · Views: 455
Namhurumia sana John,peniela nae ananibore kumdharau John
Kuna kitu kinamsukuma kufanya hivyo automatic Kwani wazazi wote wa Peniela waliuwawa na John

Mwisho wa story Mathew atamsaidia Peniela kuwajua ndugu zake kwa kupitia matukio yaliyofanywa na john
Anitha ataangukia mikononi Jason kwani keshaonyesha dalili za kumpenda
Jaji Elibariki yeye ataishi na Peniela kwani Flavian atadedi
Mathew atamuoa Anna baada ya Mathew kuyaanika mabaya yote ya baba yake

Dr Joshua yeye atapanda kizimbani baada ya ushahidi kupatikana wa kumuua Edson, mke wake na kutumia ofisi vibaya
Rais mstaafu mr Deus kwa kushirikiana na brigedia........
Niishie hapo kwanza
 
Methew atamuoa dada wa kudukua washaanza kwa mbaali
 
Gari mpya ya paniela
 

Attachments

  • 1473945661063.jpg
    7.9 KB · Views: 417
Methew atamuoa dada wa kudukua washaanza kwa mbaali
Wale washazoeana sana kama dada na kaka
Alafu ujue Mathew ni mutu ya kazi bhana sio kama Danny anataka kulala na kila mwanamke "alafu akipiga mzigo mara moja tu anamuita mke"
Sasa kazi anayo sijui kasilimu lini maana pale tu keshakuwa na wake watatu Livna Yemi na naniliuuu (Hawa)
 
Gari la ana ilo hana makuu
 

Attachments

  • 1473945795407.jpg
    4.4 KB · Views: 489
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…