Mtoto wa jini karudi kutoka kuzimu hahahahahaahahahahahha...ile hata siipost tena...ameleta nyingine hiyoo...yaani ni hovyooo..eti mtoto wa jinni karudi
Usitusumbue kama kuleee ukaaanza Mambo yakoo shuniieHatimaye nimemaliza
Penny ni noma isee. Kapewa na cheo lakini hakitaki. Dah bongo la moviewDuuuh Penny ame turn hostile kamgeuks John Mwaulanga
Nimeona kama kuna matangazo ya kuuzwa kwa vitabu online lakini sijafaniwa kuipata hiyo picha yake ya hilo tangazo. Au ndo tushaachwa kwenye mataa tununuee sasa?Lege... Tunahitaji dozi ya kulalia
Sijamsikia kabisa inawezekana kesha danchiYule Arnold wa IT kaniuma jmn,sijui aliuawa
Ahh! Ndo nimeionea kwa peniela mkuunilikuwa najua wine=whisky
Akuuh nakua mpole sitaongea chochoteUsitusumbue kama kuleee ukaaanza Mambo yakoo shuniie
Peniela story nilipotoka mpk nilipofikiaNini
Mwache anywe ili iwe furaha kwakoJamani kuna mtu niko naye anasomaga hii stori kaagiza wisk ni kwa Mara yake ya kwanza kisa kamuona peniela na wengine wakipiga fundo Mara kadhaa humu, huku hawanywi wain bwana ila wisk
Sasa wanaiga wadau. Ushauri tafadhali