Peniela (Story ya kijasusi)

Napiga msuli bila shida naelewa kila kitu ,,,na shule ingekuwa hivi ahaha
 
Napiga msuli bila shida naelewa kila kitu ,,,na shule ingekuwa hivi ahaha
hahaha mkuu kwa jins watu walivyokuwa busy JF wakipigana vikuombo na story ya peniele hatari tupu.

ipo story nyingine ya kijasusi ya mwandishi nguri wa story za taharuki HUSSEN TUWA inaitwa WIMBO WA GAIDI itabidi ikiisha hii tufanye mpango tuibwage hapa nayo
 
Itapendeza sana ukifanya hivyo
 
Ikiisha unganisha mkuu.
 
Itapendeza sana Mkuu hii wiki umenishughulisha na Penny....akiisha toka bandika huo Wimbo wa Gaidi watu tule Sebene la ukweli.
 
Bravo,ila mtunzi ananufaika vipi?
 
Niliona kama eva alifall in love kwa mathew bada ya kumuuliza maswali kuhusu anitha nikajua badae watakuja kuoana tena wamekuja kukorofishana yaan unavyofkilia inakuja tofauti
 
Fanyaaaaa hivyooo mzee nazipenda sana story za kijasusi asanteeee JF na All Members
 
Niliona kama eva alifall in love kwa mathew bada ya kumuuliza maswali kuhusu anitha nikajua badae watakuja kuoana tena wamekuja kukorofishana yaan unavyofkilia inakuja tofauti
 
kamamwenyewe aliamua kuisa
Bravo,ila mtunzi ananufaika vipi?
mbaza kwenye fb na kundi lake la watsapp sio mbaya na sie hapa jf tukiburudika na soon anatoa kitabuu baada ya ushauri sana wa wadau juu ya kitabu
 
kamamwenyewe aliamua kuisa

mbaza kwenye fb na kundi lake la watsapp sio mbaya na sie hapa jf tukiburudika na soon anatoa kitabuu baada ya ushauri sana wa wadau juu ya kitabu
Hakuna mbaya kwakweli ukiisambaza na uku jf wengine fb hatupo
 
Yote uliosema ni kweli, ili akue inabidi asaidiwe, lakini kwa sasa nafikiri ungeondoa neno "kiuchumi" linaweza leta shida"
 
LEGE kama umemaliza ni vema ungekuwa unatujulisha ili mambo mengine yaendelee, vp utashusha mzigo tuendelee kusubiria legeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…