Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Nimejaribu kuanisha hayo kwa sababu ya umakini alioitumia mwandishi. Nimejaribu kumkumbusha namna ya kutumia mazingira na nyakati.
Mrejesho ni kitu muhimu sana kwa ajili ya maboresho.
Majua hadithi hii imevuta hisia za wengi, yote ni kwa sababu ya mirejeshi amnayo Mtunzi aliwahi kupewa kwenye hadithi zake za mwanzo ambapo akaja kufanya maboresho ambayo yamemuimarisha yeye na kazi zake kiasi cha kuvuta hisia za wengi.
Kama tutasoma bila ya kutoa mirejeshi tutakua hatutendi haki. Msanii anahitaji kukua na ili akue no lazima tishiriki katika kumkuza, kimawazo, kihali na kiuchumi.
Mkuu uhariri ni kitu muhimu sana hata filamu watu hufanya uhariri kwa ajili ya maboresho. Lakini kwa kuwa hadithi ni dhani basi tuendelee kuburudika.
 
hahaha mkuu kwa jins watu walivyokuwa busy JF wakipigana vikuombo na story ya peniele hatari tupu.

ipo story nyingine ya kijasusi ya mwandishi nguri wa story za taharuki HUSSEN TUWA inaitwa WIMBO WA GAIDI itabidi ikiisha hii tufanye mpango tuibwage hapa nayo
Wewe jamaa naona unataka kazi zangu zisiende niwe nakesha kwenye hizi movie. Sikuhizi toka nianze kula hii novel hakika sifikirii kitu ingine zaidi ya kaingia humu na kujivinjari. Asante sana mkuu
 
Dah! huyu Amos kama ni spanner au funguo basi malaya kwa maslahi kwanza kama Teabag wa Prison break.
 
LEGE its almost time shusha vitu tujitayatishe kwa kazi kesho
 
LEGE wote tuko hapa tunasubiri pls shusha 5 or more tulale
 
Niliona kama eva alifall in love kwa mathew bada ya kumuuliza maswali kuhusu anitha nikajua badae watakuja kuoana tena wamekuja kukorofishana yaan unavyofkilia inakuja tofauti
Lakini huyu Matthew nae ana matatizo. Kwani hajui kama kazi na dawa. Hata wenzie akina Willy Gamba walikuwa wanawatafuta warembo na kuwagegeda swafi kabisa. Lakini Matthew simsomi. Anitha alijaribu kuchombeza lakini jamaa akamchomolea kiaina. Hebu tuanze kufanya upembuzi yakinifu
 
Daah, yaani interval ya Jana jioni na Leo nimekuta nimepigwa gap la hatari. Wadau, Nimejitahidi sana kuwakimbiza Leo mchana hadi nimewapata, japokuwa njiani nimekumbana na changamoto za mbonji ndo maana nimechelewa kuwapata mapema.
 
Ila nimesikitika sana kukuta Kamanda Muzee John Mwaulaya Albert kukuta amezima. Ila naamini mikoba yote kamkabidhi Mathew salama.

RIP Muzee kamanda "John Mwaulaya Albert"
 
Lakini huyu Matthew nae ana matatizo. Kwani hajui kama kazi na dawa. Hata wenzie akina Willy Gamba walikuwa wanawatafuta warembo na kuwagegeda swafi kabisa. Lakini Matthew simsomi. Anitha alijaribu kuchombeza lakini jamaa akamchomolea kiaina. Hebu tuanze kufanya upembuzi yakinifu
Kikubwa anachosema ameumizwa sana sana kupoteza familia yake ambayo inamuwia ngumu kupenda tena.Nafikiri anataka kuchukua muda kwanza ili akipenda apende kweli na inaelekea yuko fit vibaya maana ile kumuona tu Peniela tayati mzigo ukasimika ndiiii.Kwa hiyo inonyesha siku siku akikamata demu ataimbamooo nyimbo zamababu wote .
 
Ila nimesikitika sana kukuta Kamanda Muzee John Mwaulaya Albert kukuta amezima. Ila naamini mikoba yote kamkabidhi Mathew salama.

RIP Muzee kamanda "John Mwaulaya Albert"
Ues Kamkabidhi vizuri Mathew na hiyo ngoma otachezwa sawasawa
 
Back
Top Bottom