Penny ni nuksiKudadadeki Peniela ni jipu
Hata mimi sikupenda hata kama ndio ukame dah alafu kale hakajakomaa kama Peniela katataka mapenzi ya Instagram wakati pemiela kakomaaNaomi ameniudhi sana kwa kweli.... Sasa genye zake si asubiri atapata kipozeo...
Aroo usirete za kureta.....LEGE mwaga vituBora LEGE akaangalie mpira kama leo kuna timu anashabiki ili kesho amwage mzigo wa kutosha. Enough for today guys. Haya mkafanye mambo mengi
Samahani mkuu. Teheee!! Usije ukanimezaAroo usirete za kureta.....LEGE mwaga vitu
Hana kabisaYaani huyu Naona hana kuremba kabisa
Wanaume na wao hawajuagi kukataa wakifika stage hiyo... I hope Eli will prove he is a gentlemanHata mimi sikupenda hata kama ndio ukame dah alafu kale hakajakomaa kama Peniela katataka mapenzi ya Instagram wakati pemiela kakomaa
Lets wait n seeWanaume na wao hawajuagi kukataa wakifika stage hiyo... I hope Eli will prove he is a gentleman
Kwa ukame waliobao Naomi wapeane na Mathew ili pachimbikeNaomi ameniudhi sana kwa kweli.... Sasa genye zake si asubiri atapata kipozeo...
Duh umenikumbusha Nina yule ni bonge la terrorist Jack bour alipambana naye mpaka akanyooka.Na Nina alimuua mke wa Bour ndio maana alikuwa na hasira naye sana.Bour ilichukua muda kupenda tenaRose ni kama Nina Meyers wa kwenye 24. Na yy alitaka immuinity isainiwe na Rais
Rose ni kama Nina Meyers wa kwenye 24. Na yy alitaka immuinity isainiwe na Rais