Peniela (Story ya kijasusi)

Nimetoka kucheza Drafti nimekuja mbio mbio aisee. Saa mbili mbali mkuu tupiamo hata moja ya kusubiria.
 
Kilichobaki ili kazi iwe rahisi... Penny atoe papuchi kwa fernando au vicent, lakini tayari kashammanulia deus ambae ni partner wa vicent.... Labda kwa fernando... Si ndio silaha take ya maangamizi.... Papuchi ake..
Na huko walikokwenda kujificha penny na mathy.. Kuna jipya lenye kuleta matumaini..... Ila tusiwasahau team sc41... Nao wanahaha... Kujua penny alipo....
Ila mpaka hapa team sc41 ... Yote ya east africa sawa na mathy mmoja....
 
Huyu Jaji wa Mahakama Kuu hana akili za kupambanua mambo, eti anataka kumuangukia Dr. Joshua? Hajui Joshua ana hasira za kifo cha binti yake.
Muache akachunwe ngozi.... Kama akiri huna watu wakufanyeje... Eti ndio awe prezdaa..,???.. [emoji23][emoji23][emoji23].... Mkozumi nae kama kachanganyikiwa na wazo lake.... Firstlady to be eti penny... [emoji23][emoji23][emoji23]..... Mkozumi bhana.... Siju nae ana lipi la uvunguni... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lege ahadi yako hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…