Peniela (Story ya kijasusi)

Hivi ni Mimi tu niliyeboreka na hizi episodes za mwisho?? Sehemu kubwa imekuwa ni mambo tunayoyajua tayari so imekuwa kama marudio.....Hii story bila Mathew na Penny hainogi sijui???arrgh[emoji30]
Kweliii aseeee. Cjuiii itakuwajeee semaa Mathew inaonekana bado yuko na nguvu sababu amesepa kimafiaa na Jason hajui alipoelekeaa na annitha kulee inaweza kutokea chochote akafaa au yule mtesajii akamsaidiaa Kama kashajichanganya kumchoma dawa ya kupunguza maumivu kunakitu itatokea
 
Elibariki alimpa Mathew kazi, kazi imekaribia mwisho kaivuruga, na inaonekana ameshaingiwa na tamaa.
Wasomi wa namna hii ni hovyo kabisa.
 
duuh naona elibariki kaamua kama noma na iwe noma tu ila usaliti mbaya sana malipo hapahapa
 
Nikukumbuka ya tumbili na... nawachoka wasomi wetu.!
 
Aiseeee Eli mafia sijapata ona ila naisi akiwa rahisi ata watumbuwa wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…