White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,035
- 1,169
Mmbea tangu lini akahulizwa mkuu..???Linatiririka tu mambo ambayo halijaulizwa.
Gabon na fernando si umewasoma mipango yao juu ya anitha.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kweliii aseeee. Cjuiii itakuwajeee semaa Mathew inaonekana bado yuko na nguvu sababu amesepa kimafiaa na Jason hajui alipoelekeaa na annitha kulee inaweza kutokea chochote akafaa au yule mtesajii akamsaidiaa Kama kashajichanganya kumchoma dawa ya kupunguza maumivu kunakitu itatokea
Angechafua hali ya hewa kwa joshua.... Mbona sometimes akili zinamjia.... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jaji alivyo mpuuzi hajajitaja yeye kama alikua anamtafuna peniela
Yaani bora uturudishie sehemu ya mathew tuu itufariji maana huyu chizibariki kanitibua sana. Mpaka nikiona sehem anayoelezea sitaki hata kuisoma nairuka.
Yaani sitaki hata kusoma jina lake[emoji19] [emoji51] [emoji57] [emoji57]
Deus atawasiliana na Peniela kabla na atafahamu kuwa Elibarik alisaliti kambi, pia ataelezwa kuwa Elibarik ana fanikisha uuzwaji wa package E21, hivyo Deus ata withdraw his support. Huenda Mathew akawa next presidakama mimi nimeruka upouuzi anaimwambia dr Joshua aisee...of course tunaufahamu ila inatia kinyaa alivowasaliti wenzie
But wait, ina maana sasa chizibariki ana back up ya watu wawili Deus na Dr Joshua kuwa next president, the end justifies the means?
Watendee haki Characters wote, wala usimruke, kama mtunzi angekua na tabia hizo nakuhakikishia hii hadithi ingeharibika kitambo sana kama ilivyoharibika ile ya Danny Mapapuchi mpaka haiendelei tens baada ya kusimama kama gari iliyo knock engine. Lakini kwenye hadithi hii naamini huko mbele hata Mathew mtamchukia na mtashangaa mtajikuta mnampenda Dr. Joshua na Rosemary Mkozumi. Kuna watu humu watajiita Dr. Joshua na wengine watajiita Rise Mkozumi.Yaani bora uturudishie sehemu ya mathew tuu itufariji maana huyu chizibariki kanitibua sana. Mpaka nikiona sehem anayoelezea sitaki hata kuisoma nairuka.
Yaani sitaki hata kusoma jina lake[emoji19] [emoji51] [emoji57] [emoji57]
Basi ntashukuru sana kama utatunga hivyoAamini Usiamini,Elibariki atauzuia mpango wa kina Dr Joshua,atajutia usaliti wake na atamkumbuka Penny wake so ataamua kulipiza kwa kufanya jambo la kuioata package liwe gumu kwa akina hassan,Dr Joshua atamuamini mara 1000 zaidi ya katibu ake,na kwa kuwa Dr Joshua anatamaa ya pesa atamzunguka pia katibu wake,so issue itasimamiwa na Elibariki kwa maana ya yeye ndie atapewa package ili ampelekee Hassan,then yeye ataamua kukimbia nayo.Pia Anitha atatoroshwa na mara moja yeye kushirikina na goban watamtafuta Methew wisho wa siku wataanika ukweli wote hadharani na atakayeanika ukweli ni huyuhuyu Elibariki
Umeona eh?? story inakuwa kama inajirudia hivyo kukosa mvuto kwa msomajiIngekuwa amri yangu hii story ingerushwa episode, simulizi zinajirudia LEGE hawa watu wakikutana tumia maneno"akamsimulia yote jinsi ilivyokuwa"ili tusogee mbele kuliko kuirudia story tena...... , ni mtazamo tu katika maboresho