Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Huyo ndio jaji elibariki... Bhana... Kanya, kaharisha, katapika na mishuzi.... Ya maana ... Mpuuzi sana kama yeye ni kizabizabinaa mbona hajamwambia joshua na yeye kamla penny...???.. Kuna jambo ila chizibariki ameplan.... Time w'll tell......
 
Linatiririka tu mambo ambayo halijaulizwa.
Mmbea tangu lini akahulizwa mkuu..???
Na yeye anadai kachoka kuishi kama ndezi..... Kasahu kama kuna mtu kapoteza maisha kwa ajili yake.....??..ila penny ndio atammaliza eli kwa joshua.... Dr joshuasi kaoza kwa penny... Kwanza kashoona anasingiziwa... Akipewa papuchi tuu... Kila kitu anasahau....
 
Kweliii aseeee. Cjuiii itakuwajeee semaa Mathew inaonekana bado yuko na nguvu sababu amesepa kimafiaa na Jason hajui alipoelekeaa na annitha kulee inaweza kutokea chochote akafaa au yule mtesajii akamsaidiaa Kama kashajichanganya kumchoma dawa ya kupunguza maumivu kunakitu itatokea
Gabon na fernando si umewasoma mipango yao juu ya anitha.. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yaani bora uturudishie sehemu ya mathew tuu itufariji maana huyu chizibariki kanitibua sana. Mpaka nikiona sehem anayoelezea sitaki hata kuisoma nairuka.
Yaani sitaki hata kusoma jina lake[emoji19] [emoji51] [emoji57] [emoji57]
 
kama mimi nimeruka upouuzi anaimwambia dr Joshua aisee...of course tunaufahamu ila inatia kinyaa alivowasaliti wenzie

But wait, ina maana sasa chizibariki ana back up ya watu wawili Deus na Dr Joshua kuwa next president, the end justifies the means?
 
Deus atawasiliana na Peniela kabla na atafahamu kuwa Elibarik alisaliti kambi, pia ataelezwa kuwa Elibarik ana fanikisha uuzwaji wa package E21, hivyo Deus ata withdraw his support. Huenda Mathew akawa next presida
 
Chizibariki kazingua sana. Hapa ndipo naona umuhimu wa Legacy ya Muzee Kamanda "John Mwaulaya Albert" kwa Mathew. Kwenye hii story Makamanda wa ukweli Wazee wa mission wataendelea kubaki Muzee Kamanda"JMA"(R.I.P) pamoja na Mathew.
 
Raha ya stori ni kutotabirika kama hivi.Elibariki amewaangusha wasomi wenzake.Ametanguliza maslahi yake mbele.Amekengeuka.Anitha nimempenda sana.Anajitambua.Natabiri Gabon na Jason watakuwa na msaada mkubwa kwa akina Methew.Naomi atamlainisha Fernando....Gabon tayari ameanza kuvutiwa na Anitha.Rose ataanguka kwenye penzi na msaliti Eli...
 
Yaani bora uturudishie sehemu ya mathew tuu itufariji maana huyu chizibariki kanitibua sana. Mpaka nikiona sehem anayoelezea sitaki hata kuisoma nairuka.
Yaani sitaki hata kusoma jina lake[emoji19] [emoji51] [emoji57] [emoji57]
Watendee haki Characters wote, wala usimruke, kama mtunzi angekua na tabia hizo nakuhakikishia hii hadithi ingeharibika kitambo sana kama ilivyoharibika ile ya Danny Mapapuchi mpaka haiendelei tens baada ya kusimama kama gari iliyo knock engine. Lakini kwenye hadithi hii naamini huko mbele hata Mathew mtamchukia na mtashangaa mtajikuta mnampenda Dr. Joshua na Rosemary Mkozumi. Kuna watu humu watajiita Dr. Joshua na wengine watajiita Rise Mkozumi.
 
Aamini Usiamini,Elibariki atauzuia mpango wa kina Dr Joshua,atajutia usaliti wake na atamkumbuka Penny wake so ataamua kulipiza kwa kufanya jambo la kuioata package liwe gumu kwa akina hassan,Dr Joshua atamuamini mara 1000 zaidi ya katibu ake,na kwa kuwa Dr Joshua anatamaa ya pesa atamzunguka pia katibu wake,so issue itasimamiwa na Elibariki kwa maana ya yeye ndie atapewa package ili ampelekee Hassan,then yeye ataamua kukimbia nayo.Pia Anitha atatoroshwa na mara moja yeye kushirikina na goban watamtafuta Methew wisho wa siku wataanika ukweli wote hadharani na atakayeanika ukweli ni huyuhuyu Elibariki
 
Basi ntashukuru sana kama utatunga hivyo
 
In the end, Mathew will become President of the URT and Peniela as the FL.
 
Ingekuwa amri yangu hii story ingerushwa episode, simulizi zinajirudia LEGE hawa watu wakikutana tumia maneno"akamsimulia yote jinsi ilivyokuwa"ili tusogee mbele kuliko kuirudia story tena...... , ni mtazamo tu katika maboresho
Umeona eh?? story inakuwa kama inajirudia hivyo kukosa mvuto kwa msomaji
 
Hivi ni ELI huyuhuyu ninayemjua kweli amefanya gaya?Dah au anamtega Joshua amuamini?Dah sipati picha kabisa mimi kwa mara ya kwanza nimechanganyikiwa siamini kama Elibariki anaweza kutoa siri zote hizi kwa mtu kama Joshua.Dah mtunzi amenichosha kabisa.Binadamu wanabadilika sana akitaka kitu chake anasaliti kabisa watu waliompa msaada.very very sad Eli.Umenusikitisha mno
 
Kama Elibariki hatamsaidia Mathew kwa jinsi alivyomuokoa kwenye majanga mengi Mungu anamuona wallah.Isingekuwa mathew kumchukua angekuwa ameuawa.Unless aniambie anacheza mchezo hatari na atakuja kumgeuka Joshua mwishoni na kurudi kwa Mathew lakini ameshafanya damage ya kutosha.He is a snake kabisa.Mathew sasa atasaidiwa na Deus kipiga mzigona sasa atakuwa na hasira ambayo hatakaa arudi nyuma tena.Mathew ni Jack bour wa 24hrs kwahiyo ni mtu ambaye amepitia mengi mno sijui utamueleza nini mpaka aachie jambo yule kuna siku ataingia ikulu kumkaba Joshua mpaka aseme kila kitu.Sasa Mathew ndio ataonekana ni naniatacheza Muziki ambao ni kiboko.Anita atatoka soon kwa Rose.
 
Back
Top Bottom