Peniela (Story ya kijasusi)

kama mimi nimeruka upouuzi anaimwambia dr Joshua aisee...of course tunaufahamu ila inatia kinyaa alivowasaliti wenzie

But wait, ina maana sasa chizibariki ana back up ya watu wawili Deus na Dr Joshua kuwa next president, the end justifies the means?
Joshua hana ubavu wa kumfanya Eli awe President, kumbuka Rose anautaka Urais na anataka Joshua amfanyie mpango wa kuwa Rais.
Hapa naona uadui kati ya Kigomba na Elibariki unaibuka, pia kutatokea mfarakano kati ya Joshua na Kigomba, vile vile kuna fukuto kati ya Rose na Joshua ukizingatia hata kama Joshua atafanikiwa kuiuza ile package hawezi kukubali wagawane sawa na Rose.
 
lege umekua bidhaa adimu sana katika hili jukwaa twakuombea vibaka wasikwapue vitendea kazi vyako wala wezi wasifike nyumbani kwako
 
Ila mi ntaendelea kubaki vilevile Muzee kamanda "John Mwaulaya Albert"
 
Elibariki atasaidia sana baadaye...At the end Elibariki ,Eli,Penny,Matwew ,Jason na Anitha watakuwa pamoja

ila mmmm...Eli anazingua kinoma
 
Ila mi ntaendelea kubaki vilevile Muzee kamanda "John Mwaulaya Albert"
Huyu hata mimi nilimkubali sana. Pia kuna Mathew, Deus Mkozumi, Anitha the Hacker.
Pia Rose Mkozumi nimekubali sana jinsi alivyovalisha na mtunzi, ame fit sana, kwa viwango vya rais na ujinga wa Dr. Joshua sijamkubali kabisa. Amos alini impress, alicheza kote lakini alibaki loyal kwa Deaus
 
TAARIFA MUHIMU KWA WOTE.

Kwa kushirikiana na Clouds Media Group na Azam Media ,tunatafuta wasanii watao weza kucheza tamthilia hii,vigezo uwe na kipaji na walau uwe na uwezo wa kufit katika waigizaji wa kuu wa stori hii ya PENIELA,kwa walio tayari wani PM kwa mawasailiano zaidi.

NB .kwa wakina dada watao taka kuigizia kama PENIELA watafanyiwa usaili wa kivitendo ili kudhihirisha uwezo wao ila wengine wote mnaweza mkafanyiwa usaili wa kawaida tu.

Kumbuka,malipo yako na mkataba vitazingatiwa kisheria kama utakuwa umefuzu vigezo vyetu.

Mwisho wa kutuma maombi ni 30/9/2016 saa sita usiku

Mratibu na msaili wa wasanii wa tamthilia ya PENIELA.
A.Tatu
21/9/2016​
 
Source ya taarifa hii tafadhari ili nikawe mh jaji niwashikeshike watoto wazur ata kama ntakua yuda
 

Acha utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…