fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,027
Joshua hana ubavu wa kumfanya Eli awe President, kumbuka Rose anautaka Urais na anataka Joshua amfanyie mpango wa kuwa Rais.kama mimi nimeruka upouuzi anaimwambia dr Joshua aisee...of course tunaufahamu ila inatia kinyaa alivowasaliti wenzie
But wait, ina maana sasa chizibariki ana back up ya watu wawili Deus na Dr Joshua kuwa next president, the end justifies the means?
Hapa naona uadui kati ya Kigomba na Elibariki unaibuka, pia kutatokea mfarakano kati ya Joshua na Kigomba, vile vile kuna fukuto kati ya Rose na Joshua ukizingatia hata kama Joshua atafanikiwa kuiuza ile package hawezi kukubali wagawane sawa na Rose.