Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
SIYO TAPELI MIE😡😡😡😡😀😀😀🙄
NO.HUU MPANGO UNARATIBIWA NA WOTE MIE NI MTU WA CHINI KABISA,THEN MIE NDIYE NILIYETOA WAZO LA KUWA NA TAMTHILIA Y PENIELAKama sio tapeli ni kibaka,uwezi tumia kazi ya mtu kujipatia pesa bila ridhaa yake.
NO.HUU MPANGO UNARATIBIWA NA WOTE MIE NI MTU WA CHINI KABISA,THEN MIE NDIYE NILIYETOA WAZO LA KUWA NA TAMTHILIA Y PENIELA
Wanaume wa Dar [emoji1][emoji1]Hahahahaaaaaaaaa
Wanaume wa Dar
Kwani shunie wewe ni mwanamke wa wapi?Wanaume wa Dar [emoji1][emoji1]
Na hao watu ata uku uswahili tupo nao tunaishi nao unakua na rafiki unamwamini kila kitu anachokuja kukutenda uwez aminiHivi ni ELI huyuhuyu ninayemjua kweli amefanya gaya?Dah au anamtega Joshua amuamini?Dah sipati picha kabisa mimi kwa mara ya kwanza nimechanganyikiwa siamini kama Elibariki anaweza kutoa siri zote hizi kwa mtu kama Joshua.Dah mtunzi amenichosha kabisa.Binadamu wanabadilika sana akitaka kitu chake anasaliti kabisa watu waliompa msaada.very very sad Eli.Umenusikitisha mno
wa Dar lkn sina tabia za wanaume wa DarKwani shunie wewe ni mwanamke wa wapi?
Hahah dozi hiyo kubwa sana.LEGE kukubalika sana kuna gharama yake.sasa wewe humu JF sisi ndio tumekupandisha chati itumie nafasi yako vizuri.Weka vitu kama unavyopromis.Weka vitano asubuhi na vitano usiku.
Wanaume wa dar wana tabia ipiiwa Dar lkn sina tabia za wanaume wa Dar
Sasa si afadhali dozi kubwa kuliko kukosa matibabu yaLEGE kwa muda mrefu.Hahah dozi hiyo kubwa sana.
Kama ya Eli hivi hujaona wengine wameshambulia kuhusu wanaume wa dar umeniona mm tuWanaume wa dar wana tabia ipii
Nakutafutawa Dar lkn sina tabia za wanaume wa Dar