Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Hii ndo story pekee ambayo nimeifuatilia kwa mda mrefu kwa kuisima, ila jambo moja tu ambalo limenivutia ni katika njia ya uwasilishaji wake, ni kama unaangalia move vile

Sishauri ifupishwe kwa maana ya kusema akamueleza , hapana itakosa radha yake na kupoteza ile hali yake.... Hakuna haraka endelea hivyo hivyo LEGE...

ntahakiki baada ya story kuisha, maana nami ni mmoja wa waandishi wa story....
 
Hivi ni ELI huyuhuyu ninayemjua kweli amefanya gaya?Dah au anamtega Joshua amuamini?Dah sipati picha kabisa mimi kwa mara ya kwanza nimechanganyikiwa siamini kama Elibariki anaweza kutoa siri zote hizi kwa mtu kama Joshua.Dah mtunzi amenichosha kabisa.Binadamu wanabadilika sana akitaka kitu chake anasaliti kabisa watu waliompa msaada.very very sad Eli.Umenusikitisha mno
Na hao watu ata uku uswahili tupo nao tunaishi nao unakua na rafiki unamwamini kila kitu anachokuja kukutenda uwez amini
 
Daah, Anitha jamani...

Mwanamke Jasiri sana huyu, Mpambanaji kwelikweli.

Kwa story inavyokwenda natabiri kifo kwa Rose atauwawa na Dr Joshua kwakuwa anajua siri zake nyingi. Bila shaka Mathew amejificha kwa Eva, kupitia Runinga atasikia juu ya uwepo wa Elibariki Ikulu, atasikia pia habari za Rose kugombea Urais kitu kitakachopandisha hasira zake.

Mwisho nadhani Mathew atakuwa Rais na Paniela atakuwa First lady wakati Dr Joshua akinyea Debe kwa kifungo cha muda mrefu.

Hii story tamu sana, inanikumbusha mzigo wa MKIMBIZI bahati mbaya sikuimaliza story ile.. Yaani unasoma huku ukijiona nawe uko Field, hii haitakiwi kusomwa ukiwa kazini, hapa nomfukuza wateja kadhaa kwa kuwahudumia kwa Ukali kanakwamba wamenikosea.... El anaboa kishenzi...!!

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu LEGE leo hujatimiza ahadi yako mkuu wangu
Tuwekee hata viwili vya season 4 basi
 
Mkuu LEGE umepata followers wengi sana snbao kila saa tunaacha majukumu yetu ttunapita hapa kwa sababu tunakukubali sana.Sasa nakushauri utumie nafasi yako vizuri usitufanye tukakuchunia alafu utasoma story yako mwenyewe huku machozi yakikutoka sisi hapo tutakuwa kwa Deus tunakula kuku na Mathew .We cheza tu sisi tukuobyeshe kazi
 
LEGE kukubalika sana kuna gharama yake.sasa wewe humu JF sisi ndio tumekupandisha chati itumie nafasi yako vizuri.Weka vitu kama unavyopromis.Weka vitano asubuhi na vitano usiku.
 
LEGE kukubalika sana kuna gharama yake.sasa wewe humu JF sisi ndio tumekupandisha chati itumie nafasi yako vizuri.Weka vitu kama unavyopromis.Weka vitano asubuhi na vitano usiku.
Hahah dozi hiyo kubwa sana.
 
Mkuu LEGE uwe consistency ili heshima yako iendelee kuwa kubwa.Believe me tunakuangalia nyendo zako kwa karibu sana.
 
Back
Top Bottom