babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Kwakweli baadhi ya watu wanakera. Kwani hicho alichoandika alishindwa kukiandika bila Kucopy episode nzima!!?Ndiyo kitu gani hiki umeandika, tena kwa ku quite episode nzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli baadhi ya watu wanakera. Kwani hicho alichoandika alishindwa kukiandika bila Kucopy episode nzima!!?Ndiyo kitu gani hiki umeandika, tena kwa ku quite episode nzima?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sijua kwa nn kila nikimuona uncle magu namkumbuka Dr joshua
Lugha gonganaHyo ni nanayo nataka kupitia browers, ipo jf ipi mchanganyiko au ?
Mbona hueleweki nn unatakaHyo ni nanayo nataka kupitia browers, ipo jf ipi mchanganyiko au ?
I got a feeling hii ligi bado ndefu sanaKama huyo askof ni C.I.A na USA wanataka wakipate kirusi ili wakitumie kurahisisha shughuri za uwekezaji.naona kabisa huyo askof atakuja kuwasaliti akina methew na kukitaka kirusi aby kwa ajili ya serikali yake
Kuna maswali najiuliza sipati majibu kwa nini john hakuangamiza kirusi hicho huku alikuwa na uwezo huo??
hukumbuki methew tayari ana zile kanuni ! na ziliibiwa kutoka ikuluAngekiangamizaje mkuu?
Maana kwa mujibu wa mtunzi, mara baada ya kukiachia toka sehemu kilipofungiwa, ndipo kinasambaza homa hiyo. Kwahiyo kwa kufuata maelekezo hayo maana yake ili kukiua, unatakiwa kutafuta kanuni zilizotumika kukitengeneza then utafute namna ya kukitengua.....
Kwa swali lako, Unataka kuniambia John alikuwa na Kanuni zilizotumika kutengeneza Aby?
BACK TANGANYIKA
I got a feeling hii ligi bado ndefu sana
Na Mathew asijaribu kumuamini the C.I.A guy maana na yeye anaitaka hyo package
Kuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,Mbona hueleweki nn unataka
Mm sijakuelewa aliyekuelewa atakuja kukueleweshaKuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,
Kama unafaham pia mkuu nisaidie, maana nmeenda kule education hakuna ..
hukumbuki methew tayari ana zile kanuni ! na ziliibiwa kutoka ikulu
Mm sijakuelewa aliyekuelewa atakuja kukuelewesha
Nilikuwa nataka niwashauri wafanye hivyo.Kama unatumia cm, usitumie app ya jf, ingia tu kupitia browser unayotumia, hao wanaoquote episode nzima hawatakusumbua.
Oooh kumbe ndo alikua anamaanisha ivyo ngoja nimwambieKazi kwelikweli hii Jf..!!
Dadaangu, huyu msaidie kitu kimoja (kama nitakuwa nimemuelewa) Mwambie atumie atumie Operamin.
Nimesoma mara tatu ujumbe wake mpaka kuja na ushauri huu, nadhani utamfaa..!!
BACK TANGANYIKA
Tumia opera miniKuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,
Kama unafaham pia mkuu nisaidie, maana nmeenda kule education hakuna ..
Tumia browser kisha log in. Pale kwenye ki-icon cha mtu utaona alerts kisha utauona huu uzi.Kuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,
Kama unafaham pia mkuu nisaidie, maana nmeenda kule education hakuna ..
Na mm pia nikimuona Baba jesca kwenye runinga namkumbuka Dr joshua moja kwa moja.Sijua kwa nn kila nikimuona uncle magu namkumbuka Dr joshua