Peniela (Story ya kijasusi)

Kama huyo askof ni C.I.A na USA wanataka wakipate kirusi ili wakitumie kurahisisha shughuri za uwekezaji.naona kabisa huyo askof atakuja kuwasaliti akina methew na kukitaka kirusi aby kwa ajili ya serikali yake
I got a feeling hii ligi bado ndefu sana
Na Mathew asijaribu kumuamini the C.I.A guy maana na yeye anaitaka hyo package
 
Kuna maswali najiuliza sipati majibu kwa nini john hakuangamiza kirusi hicho huku alikuwa na uwezo huo??

Angekiangamizaje mkuu?

Maana kwa mujibu wa mtunzi, mara baada ya kukiachia toka sehemu kilipofungiwa, ndipo kinasambaza homa hiyo. Kwahiyo kwa kufuata maelekezo hayo maana yake ili kukiua, unatakiwa kutafuta kanuni zilizotumika kukitengeneza then utafute namna ya kukitengua.....

Kwa swali lako, Unataka kuniambia John alikuwa na Kanuni zilizotumika kutengeneza Aby?

BACK TANGANYIKA
 
hukumbuki methew tayari ana zile kanuni ! na ziliibiwa kutoka ikulu
 
I got a feeling hii ligi bado ndefu sana
Na Mathew asijaribu kumuamini the C.I.A guy maana na yeye anaitaka hyo package

Huyo bishop hahusiki na mission ya CIA ya kupata kirusi Aby. Tupo hapo kumuenzi na kukamilisha ndiyo za rafiki (John Mwaulaya).
 
Mbona hueleweki nn unataka
Kuna mdau nlimuuliza kama anaweza kunisaidia link ya jf, ambayo ntasima hii story bila app ya jf, mfn kwenye habari mchanganyiko au jokes, ili nisitumie aply ya jf maana kuna vitu sivipati,

Kama unafaham pia mkuu nisaidie, maana nmeenda kule education hakuna ..
 
Mm sijakuelewa aliyekuelewa atakuja kukuelewesha
 
Mm sijakuelewa aliyekuelewa atakuja kukuelewesha

Kazi kwelikweli hii Jf..!!

Dadaangu, huyu msaidie kitu kimoja (kama nitakuwa nimemuelewa) Mwambie atumie atumie Operamin.

Nimesoma mara tatu ujumbe wake mpaka kuja na ushauri huu, nadhani utamfaa..!!

BACK TANGANYIKA
 
Kazi kwelikweli hii Jf..!!

Dadaangu, huyu msaidie kitu kimoja (kama nitakuwa nimemuelewa) Mwambie atumie atumie Operamin.

Nimesoma mara tatu ujumbe wake mpaka kuja na ushauri huu, nadhani utamfaa..!!

BACK TANGANYIKA
Oooh kumbe ndo alikua anamaanisha ivyo ngoja nimwambie
 
Tumia opera mini
 
Tumia browser kisha log in. Pale kwenye ki-icon cha mtu utaona alerts kisha utauona huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…