Mkuu naitafuta sana miss tanzania niliishiaga nusu tafathali sanaaa nitag ilipo.Mzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi
serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1
Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed
Uliishia sehemu ya ngapi?Mkuu naitafuta sana miss tanzania niliishiaga nusu tafathali sanaaa nitag ilipo.
Daaah nazani sijui ni ya tatu coz niliisomaga kipindi nipo facebook ni mdaa, nimejaribu kuitafuta huku sijaiona.Uliishia sehemu ya ngapi?
Ndiyo kitu gani hiki umeandika, tena kwa ku quite episode nzima?
Mimi namfananisha na Chloe kwenue 24 alivyo msaada kwa Jack Bawa
Nikimaliza hii story sisomi tena story nyingine imenipotezea mda wangu mwing na wakat mwingine kunilaza usiku sana sitaki tena ikiisha hii[emoji23] [emoji23]
Nilimaanisha quote Mkuu.Hiki wewe ulichoandika ni nini?
"BEFORE I DIE"Mzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi
serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1
Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed
I DIED TO SAVE PRESIDENTMzigo Upi Mnapenda kushushiwa Kati ya Hizi
serena
before i die
miss tanzania 1&2
beyond pain
bring back our girls part 1
i died to save president part1
i was wrong 1
i do season 1
Maamuz Juu Yenu ila Ukisha tajwa na Mmoja. basi usirudiwe kutajwa bali Upewe Like
Ili tusijaze threed
Mkuu ndiye Penny wako nini?Siyo mbaya lakini naye analipa.Nani anamjua Jenifer kyara yule wa bongo movie anafanana sana na Peniela