Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

mm niliosoma ngoja nitakufanyia mpango nione utaipataje?? upo wapi mkuu kama upo dar nitafute kazi za husen tuwa ninazo zote na now anatoa nyingine ya kuijasusi kipelelezi inaitwa WIMBO WA GAIDI hiyo hata hii ya peniela inasubili mkuu.kama utataka nikulambishe nayo

Mkuu tafadhali sana,

Kuna mzigo wa Tuwa wa MKIMBIZI nifanyie mpango tafadhali nipo Dar kwa muda napatikana kirahisi pale Kariakoo, hata hiyo WIMBO WA GAIDI naitaka pia.

Fanya mpango mkuu

BACK TANGANYIKA
 
Mambo hayo karibu season 5 twasubiri kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Duh! Methew ana wivu balaa hata mipango ya kazi anaisahau haya mapenzi acha yaitwe majina yote.
 
Mkuu tafadhali sana,

Kuna mzigo wa Tuwa wa MKIMBIZI nifanyie mpango tafadhali nipo Dar kwa muda napatikana kirahisi pale Kariakoo, hata hiyo WIMBO WA GAIDI naitaka pia.

Fanya mpango mkuu

BACK TANGANYIKA
kiukweli mkimbizi hakipo kilisha kwisha coz wanafunzi wa chuo wanakitumia hivyo kimekuwa adimu sana alisema atatoa copy nyingine lkn sio kwa karibuni coz kuna kazi mbili anazifyatua nazo ni wimbo wa gaidi na mtafiti.ukitaka vitabu vya tuwa utapata mtuhumiwa,mdunguaji na utata nazani hivyo vipo vya kutosha mkuu,

ungekuwa ni mkazi wa dar ningesema nikuazime cha kwangu mkuu
 
Niazime mm
 
Mkuu, kitabu cha peniel kipò?
Maana nakitaka ili nijiwekee kumbukumbu...

Nakama unazo nakara zingine za hadithi za kijasusi nialifu pia ntakutafuta nijipatie nakala
 
haki

hakipo mkuu lakini kasema anakitoa
 
haina shida mkuu ila plz plz plz plz .isije ikawa ni kama vitabu vya msiba kuna kitabu kile cha kisasi ni kama kina laana ukimwazima mtu hakiwezi kurudi na ukizubaa lazima kiibiwe
Eenh [emoji134] [emoji134]
 
Hiyo season 5 ishushe yote kesho ili tuisindikize weekend vizuri
 
Back
Top Bottom