Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Very bad newz
Katika bad news hii ndio imeongoza .Ngoja niangalie series zangu kupoteza mawazo .baada ya two weeks ndio nitarudi kuchungua humu.Cheers LEGE it was nice meeting you😀😀😀😀😀.see you when you see me.
 
Inabidi nijiturn kisaikolojia kumsahau Penny na mautamu yake for two weeks maaan.LEGE keep us informed.😎😎😎
 
Kufa na kupona, Kikosi cha kisasi, Njama , Hofu, - mambo ya WillyGamba aah ! Enzi zile hazitarudi Tena , mambo yamekua mengi kiasi kwamba hakuna uwezekano wa kua Tena na Furaha kamili. Duh!
 
mkuu unaniwezeshaje au kama waweza nifanyia mpango juu ya hivyo vitabu vya msiba hasa hicho cha kikosi cha kisasi. au kama waweza niuzia nambie bei gani tufanye biashara au tufanye biashara mbadilishano
LEGE siwezi kukuuzia labda kukuazima rafiki.
 
Kikosi cha kisasi ninacho na njama ila vipo Morogoro kwa sasa nilicho nacho karibu ni Hofu. Vitabu vya msiba vingi ninesoma ila vya Joram Kiango nilisom simu ya Kifo nadhani kama kumbukumbu zangu ziko sahihi. Hicho cha Allan niewahi kukisikia ila sijakisoma.
Allan kwataman na mzee Makumazan ni sheeda. Mzee ye hatumii manati ya kizungu Bali anatumia shoka tuu. Anakimbia sambamba na farasi. Ile story ni balaa.

Vya Musiba nimesoma Hofu,Njama,Kikosi cha kisasi,Hujuma na kuna kimoja ila sikikumbuki ni muda mrefu. Sijaona mwandishi wa riwaya za kipelelezi kwa kiswahili anaemfikia Musiba. Ben Mtobwa alijitahidi na Joram kiango lakini Willy Gamba ni kiboko
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
nazani baada ya wiki 2 au moja hivi siunajua uandishi ni fani na kuna mambo mengi so ni lazima kunakufanyiwa editing n.k

na huwa inategemea huyo aliyepewa kuisoma na kuisahihisha ana kasi gani ya kuisoma.ila baada ya wiki moja mambo yatakuwa fresh kbs
Tuwekee mkimbizi au mdunguaji tukimsubiria Peniela
 
Tuwekee mkimbizi au mdunguaji tukimsubiria Peniela
mkimbizi na mdunguaji itakuwa ngumu sana mkuu .hiyo kwa kukusaidia nikununua kitabu tu kama upo dar ni rahisi kama upo nje ya dar unatumiwa pia mkuu
 
Allan kwataman na mzee Makumazan ni sheeda. Mzee ye hatumii manati ya kizungu Bali anatumia shoka tuu. Anakimbia sambamba na farasi. Ile story ni balaa.

Vya Musiba nimesoma Hofu,Njama,Kikosi cha kisasi,Hujuma na kuna kimoja ila sikikumbuki ni muda mrefu. Sijaona mwandishi wa riwaya za kipelelezi kwa kiswahili anaemfikia Musiba. Ben Mtobwa alijitahidi na Joram kiango lakini Willy Gamba ni kiboko
mkuu ben mtobwa na joram kiango ni mtu mmoja?? ben mtobwa mwandishi joram kiango nimhusika anayependa sana kumtumia ni kama patric na peniela
 
Tuoneeni huruma sisi tusio na ndoa khaaaaaaaah sio mtu tese iviii, Panielaaaa weeeeh
 
mkuu ben mtobwa na joram kiango ni mtu mmoja?? ben mtobwa mwandishi joram kiango nimhusika anayependa sana kumtumia ni kama patric na peniela
Ni kweli mkuu. Mtobwa anamtumia Joram kama Musiba anavyomtumia Gamba.
 
Leo siku nzima hamna umeme izi story zimenibeba sana,ndo nimemaliza before I die kule sasa sijui saiz nifanyaje zaid ya kulili huruma ya Mkuu lege
 
Back
Top Bottom