Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Sidhani kama umslopogaaz ametajwa katika mashimo ya Mfalme Suleiman sababu mashimo yalianza kabla ya safari ya Allan quartermein na wenzie ila umbopa ndio katajwa katika safari ya Allan quartermein na wenzie.
Kuna Mahali ametajwa kidogo ( au ilifasiliwa ) na Makkumazahin
 
bc4adf9f8a3602b5eedd88953e325045.jpg


"U KNOW HOW MUCH WE MISS U"
 
Kuna Mahali ametajwa kidogo ( au ilifasiliwa ) na Makkumazahin
Miaka michache uliopita tulisafiri na mtu kama wewe akiitwa umbopa tazama tulivyoachana nae alikuwa ni mfalme mwenye jeshi lenye vikosi ishirini na kila kikosi kina askari elfu tatu wanasubiri kuzitimiza amri zake.
Haya ni maneno ambayo makumazahn anamwambia umslopogaaz.
 
Kuna muvi fulani ya jack chan inataka kufanana na hii simulizi ktk mambo baadhi..! anyway mtunzi amejitahidi sana tu,matukio yamejipangilia thanks kwake kazi kwenu BONGO MOVIES,we want somethings like this not everyday love stories mixer witchcraft aghrrrrrrrrrr inaboa kinoma!.
LEGE leta vitu.......

Waiting....
 
Back
Top Bottom