mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
U're Wellcome LEGE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nishushe mzigo wa week end
Kama mimi nikiwa next Latoya jiandae naja kunyonya damu.........[emoji1] [emoji1]U're the Next
Kaanzisha nyingine "MISS TANZANIA".LEGE ni hii story ya Peniela au nyingine. Kama ni yenyewe nikae mkao wa kula.
Peniela humuwezi wewe asije akakuumbua kama rais mstaafupeniela ameniamsha!
So haitaendelea humu?? Mana wengine hatupo dsmthanx sana mkuu coz watu walisha anza kuongea mengii wakifikiri kuwa mm nawaongopea. but jamaa anatoa kitabu so kama ww nimsomi wa story huto sita kununua .
Naunga mkono hoja!, haiwezekani utamu Kama huu uupate kwa bando la Chuo Na kuwaneemesha wenye makampuni ya simu, halafu mwenzetu aishie kupata sifa Tu, wakati mkate wa siagi wanakula wengine kupitia kazi yake!.
Shusha mzigo lege tunausubiriii kwa hamuuungoja nishushe mzigo wa week end
Kaanzisha nyingine "MISS TANZANIA".
Watupeleke kwa miss tanzaniaWapi huko
Ya ni bora atuambie ili tujue jinsi gani ya kimchangia maana imeteka watu wengi sana hivyo hata kikusanya buku buku atapata mzigo wa kutoshaaNadhani kama mtunzi anataka mkwanja angetujulisha tu tungenunua Kazi yake bila shida Kabisa ...!