Estermkunda
New Member
- Aug 18, 2017
- 3
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vyema Mathew alistahili kuwa na mwanamke mwingine tofauti na penielaMwishoni mwa hii story sijasoma
yani tangu nione sijui mathew anasema ana hisia na peniela nmeichukia
bora nisingeisoma
mwisho wa hovyo kabisa.... peniela na ushenzi aliofanya sio wa kuonekana msafi mwishoni....
anita angefit nafasi na wapenzi kwa mThew
penny sikumkubali since kawagonganisha eli na jason
yani sehemu ndogo ya hii story imenifanya nijute hata kuisomaUmesema vyema Mathew alistahili kuwa na mwanamke mwingine tofauti na peniela