Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Mtunzi wa hii Riwaya naomba afanye marekebisho ya majina,huyo Dr Joshuwa aitwe John Patrick Mwaulaya af huyo Rais ana sifa zote za kuitwa John
 
SEHEM YA 43 NA........................

bila mafanikio hadi leo hii nilipofanikiwa.Mathew n
ataka tu
nikwambie kwamba mimi na wanangu tulichukuliwa na
kuletwa Marekani na tuliambiwa kwamba umefariki dun
ia
kuna watu wamekuua na kwamba hata sisi tulikuwa
tunatafutwa tuuawe.Nililia sana na nilijilaumu sana
kwa nini
ukachagua kuifanya kazi ile ya upelelezi? Baada ya
kufika
Marekani tulianza maisha mapya na baada ya miaka mi
tatu
nikapata bwana nikaolewa nikijua kwamba umekufa.Kwa
sasa mimi na wanangu tuna uraia wa Marekani na toka
nilipoondoka Tanzania sijawahi kurejea kwani John
aliniambia kwamba sitakiwi kuonekana tena Tanzania
kwani
siku nikitia mguu wangu ndio utakuwa mwisho wangu.K
wa
sasa nina watoto wawili kwa huyo mume wangu mpya na
tunaishi kwa furaha.Nimebadili jina naitwa Martha.
Wanao
wote wazima na wanaendelea vyema na maisha yao ila
maisha yao yamebadilika ghafla baada ya kugundua kw
amba
baba yao yu hai.Jambo hili limewastua sana .Tumewat
afutia
mtaalamu wa saikolojia ambaye anaendelea kuwasaidia
wakubaliane na hiki kilichotokea.Watakapokuwa tayar
i
watakuja kuonana nawe but for now they are not read
y
yet.Mathew sitaki kuchukua muda wako mwingi ila nap
enda
kukwambia kitu kimoja kuwa kazi yako uliyochagua ku
ifanya
ndiyo iliyofanya hadi mambo haya yakatokea.Ndiyo
iliyotutenganisha.Mara nyingi nilikuwa nikikusisiti
za uachane
na kazi hiyo lakini hukutaka kunisikia hadi yalipo
tokea haya
yaliyotokea.Ninachotaka kukushauri ni kwamba umepat
a
mke mzuri sana na nina hakika ameirudisha furaha ya
ko
tena.Peniela ni mwanamke mrembo na dunia nzima
inamuheshimu nakuomba ,muheshimu ,mtunze na
usimuumize kama mimi kwa sababu ya kazi hiyo
uifanyayo.Ukitaka maisha yako yawe na furaha achana
kabisa
na hiyo kazi unayoifanya.Huwezi kuwa na maisha ya k
awaida
yenye furaha na amani ukiwa katika kazi hiyo.Nawata
kia
maisha mema yenye furaha na amani na mpatapo nafasi
mjapo hapa Marekani msiache kuja kututembelea.Ahsan
te
sana Mathew na fungate jema.” Akamaliza Zita na kuk
ata
simu.Mathew na Peniela wakaangaliana
“ Ni mipango ya Mungu mimi na wewe kuwa
pamoja.Yote yaliyotokea yametokea ili mimi na wewe
tukutane.Let’s enjoy life my angel” akasema Mathew
na
kumbusu Peniela wakainuka na kuingia majini kuogele
a.
TAMATI


UKITAKA KUJIPATIA RIWAYA/STORY YA KIJASUSI NA YAKUSISIMUA YA WIMBO WA GAIDI. KUTOKA KWA MTUNZI WAKO MAHILI NA BINGWA WA RIWAYA ZA TAHARUKI HUSSEIN ISSA TUWA .KITABU KINAACHIWA WIKI HII

0655428085 WAHI NA UPATE COPY YAKO MAPEMAA .KAMA UJUAVYO VITABU VYA TUWA HUWA VINAGOMBEWA KAMA NJUGU.
Hatimaye nimemaliza stori hii
 
Kila napoisoma hii riwaya, na imagine wakili msomi Kibatala, yaani haichoshi kuisoma.
 
Lege ni imara kama mathew.. Atakuja na mshindo wa hatari..

Kuna comment moja hivi nilishakutana nayo inasema kuwa huyu mkuu LEGE hatunaye tena.

Sijapata uhakika 100% lakini nilijikuta nalia tu
 
Back
Top Bottom