Penny amchana Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za watoto wake...!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Penny ambaye ni mpenzi wa zamani wa Naseeb Abdul "Diamond" haonekani kujutia kitendo cha kumwagana na msanii huyo na badala yake sasa ameanza kuzipa uzito hoja za kumpiga chini Diamond ambaye walidumu naye kimapenzi kwa takribani mwaka mmoja....


Kwa mujibu wa watu wa karibu na Penny, kitendo cha Diamond kumpandisha jukwaani Wema Sepetu pale Leaders Club kilipata kila aina ya laana toka kwa mama mzazi wa Diamond kwani hakuridhia jambo hilo.....


"Mama alilalamika sana kuhusu Diamond kumpandisha Wema pale leaders Club, kimsingi ni kwamba hataki kabisa uhusiano kati ya Diamond na Wema Sepetu"...Kilisema chanzo kimoja ambacho ni rafiki damu na familia hiyo.


Wakati hayo yakijitokeza ndani ya familia ya Diamond, kwa upande wa Wema, mama yake pia anadaiwa kulalamikia kitendo cha mwanaye kutumika kila mara kumbusti Diamond pale umaarufu wake unaposhuka...!


"Mama Wema naye analalamika mwanaye kutumika kama daraja la kuwavusha watu kwenye umaarufu halafu wakishafanikiwa wanamgeuka na kumdhalilisha, kifupi ni kwamba hataki kabisa kusikia mahusiano ya Wema na Diamond" Kilifunguka chanzo hicho.


Aidha imeelezwa kuwa Diamond amekuwa akimpgia simu Penny mara kwa mara kumuomba wayamalize lakini Penny amekuwa akimjibu kwa kifupi kuwa "Nimekuachia Wema Wako"
Taarifa nyingine toka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Penny amekuwa akijisifu kuachana na Diamond kwa hoja kuu tatu:


Moja: Kuondokana na skendo zisizo na faida kwake.
Pili: Kupunguza malalamiko toka kwa familia yake.


Tatu: Penny aliingia katika mahusiano na Diamond si kwa ajili ya mapenzi, bali kulipa kisasi kwa Wema ambaye aliwahi kumchukulia mpenzi wake.

"Hata kutoa mimba ya Diamond amekuwa akisema kwamba kama angezaa naye watoto wake wangekuwa na sura mbaya na midomo ya ajabu".Kilimalizia chanzo hicho
 
1. Hahahaaaaaa... That's consolation, papuchi ishaliwa hiyooooo...
2. Bila domo, huyo penny mi nisingemfahamu kabisaaa.
Funny world
 
Kumbe alitoa mimba??? Na ukubwa wote huo bado anatoa mimba??? Hana experience ama ??
 
Hay a mnayoyaona nimisingi iliojengwa name wazazi wao wakulaumu so wao tafuteni background za manager Zhao kwanza
 
wakat wanapendana kuna siku usiku aliweka picha kisha akaandika teamwema mtuache tulale na baby wangu,pia amekuwa akimsifia diamond,lakin nashangaa sasa hivi anamkandia.

penny alikuwa anamkandia diamond wakat yuko na Wema kwamba Domo etc,nikashangaa yeye kuwa na diamond,pia kuna siku diamond alihojiwa kwa nini alilala na irene uwoya akajibu alikuwa anamkandia sana kwamba yeye ni domo baya hivo akapanda dau na kummega ili anyamaze.

diamond amekuwa akirevenge hivo
 
Nyie watoto jamani, kwani ukinyamaza unapungua kiungo mwilini? Ila huenda ni maneno ya wapambe pia
 
Mwanamke akishapandwa huwa thamni inashuka kabisa,kumbuka bila diamond hakuna ambaye angekufaham,afu mbona na wewe ni kijeba??,aka dume jike,kwan hujioni ulivo komaa??,we si wakati uko chuo mwaka wa kwanza ulikuwa unavunga mgumu mgumu na kamapani ya mamen??,nakufaham sana yan hapo hakunakitu ni kipodoz tu shepu kama ngasa.kwanza hata huyo unaemuita domo alibugi
 
Wakati wote huo hakujua ana mdomo mbaya wacha awazungukie akichoka kwa Wema atarud kwa Penny wakisifiwa kidogo tayari washaingia lain
DIAMOND SUKARI YA WAREMBO teh teh teh
 
One thing about Diamond He is Rich so most of his women are speaking blahs blahs
 
Uhusiano wa Diamond na Wema, huwapewa baraka na Watanzania wengi. Huyo Penny alifuata Mapenny tu.

Wema is in LOVE, and Diamond is HAPPY. Sisi watanzania hupenda kuwaona pamoja. LIFE IS SHORT. YOU PEOPLE STOP WASTING TIME MAKE YOUR LIFE BEHIND SCENES NOW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…