Penny amchana Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za watoto wake...!!

Penny amchana Diamond....Adai angezaa naye angemharibia midomo na sura za watoto wake...!!

Kuna huyu mpiga picha ake sijui wa kuitwa Heaven Desert anasemaje sasa maana alishasema Diamond hamuachi Penny.
 
Last edited by a moderator:
Habari imebase kwenye umbea zaidi. Source...?! Isitoshe Diamond amehojiwa jana tu magic Fm na amekanusha habari za kuachana na mpenzi wake Kalamu.
 
Nilijua tu,mdogo wangu diamond hawa mademu hawakupendi kwa dhati,wanakupendea pesa zako,na umaarufu,ww eti unajiona unapendwaaaa! Tafuta mwanamke classic uoe,achana na viruka njia,siku umaarufu wako ukiisha na vijisenti vyako kuisha,ndo utakumbuka maneno yangu!
 

Penny ambaye ni mpenzi wa zamani wa Naseeb Abdul "Diamond" haonekani kujutia kitendo cha kumwagana na msanii huyo na badala yake sasa ameanza kuzipa uzito hoja za kumpiga chini Diamond ambaye walidumu naye kimapenzi kwa takribani mwaka mmoja....


Kwa mujibu wa watu wa karibu na Penny, kitendo cha Diamond kumpandisha jukwaani Wema Sepetu pale Leaders Club kilipata kila aina ya laana toka kwa mama mzazi wa Diamond kwani hakuridhia jambo hilo.....


"Mama alilalamika sana kuhusu Diamond kumpandisha Wema pale leaders Club, kimsingi ni kwamba hataki kabisa uhusiano kati ya Diamond na Wema Sepetu"...Kilisema chanzo kimoja ambacho ni rafiki damu na familia hiyo.


Wakati hayo yakijitokeza ndani ya familia ya Diamond, kwa upande wa Wema, mama yake pia anadaiwa kulalamikia kitendo cha mwanaye kutumika kila mara kumbusti Diamond pale umaarufu wake unaposhuka...!


"Mama Wema naye analalamika mwanaye kutumika kama daraja la kuwavusha watu kwenye umaarufu halafu wakishafanikiwa wanamgeuka na kumdhalilisha, kifupi ni kwamba hataki kabisa kusikia mahusiano ya Wema na Diamond" Kilifunguka chanzo hicho.


Aidha imeelezwa kuwa Diamond amekuwa akimpgia simu Penny mara kwa mara kumuomba wayamalize lakini Penny amekuwa akimjibu kwa kifupi kuwa "Nimekuachia Wema Wako"
Taarifa nyingine toka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Penny amekuwa akijisifu kuachana na Diamond kwa hoja kuu tatu:


Moja: Kuondokana na skendo zisizo na faida kwake.
Pili: Kupunguza malalamiko toka kwa familia yake.


Tatu: Penny aliingia katika mahusiano na Diamond si kwa ajili ya mapenzi, bali kulipa kisasi kwa Wema ambaye aliwahi kumchukulia mpenzi wake.

"Hata kutoa mimba ya Diamond amekuwa akisema kwamba kama angezaa naye watoto wake wangekuwa na sura mbaya na midomo ya ajabu".Kilimalizia chanzo hicho
so what?
 
Huyo pen kasoma chuo gani huyo ni formfour jamani na ww mdogo wangu diamond punguza kulamba papai maana wengine wanachanganyikiwa unavyolamba papai na hilo domo lako kubwa papai lote linaingia huko unaona sifa ngoja siku utapobabuka hilo domo
 
Leo thamani ya mwanamke wa kitanzania imeshuka kama shilingi. Na haya ndio matokeo yake, msanii wa kike anatembeza k... Kama pipi', kwa gharama ndogo mwanaume yoyote anaweza kupata mapenzi kutoka kwa msanii wa kike.

Kwa gharama ndogo kwani wanawake wanauza? we vp? au hiyo imekuwa biashara? wanaume wenyewe masikini wakipandishiwa bei wataweza?
 
Back
Top Bottom