warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
MTANGAZAJI aliyewahi kujiachia kimalovee
na Nasibu Abdul Diamond , Penniel Mungilwa
Penny amesema mwanamuziki huyo kwa
sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na
hawezi kumpata tena
Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya
kuulizwa kama anaafikiana na kauli ya mama
wa Wema Sepetu , Miriam Sepetu kwamba,
kwa kuwa Wema kamuacha Diomond basi
staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora
akampose yeye.
Mmh ! Hapa suala la Diamond kurudiana na
mimi halipo kabisa maana simhitaji yeye
wala mwanaume mwingine yeyote , mimi
ninaye wangu tayari ambaye
ameshanichumbia hivyo sitarajii kabisa kuwa
na mwingine zaidi yake, alisema Penny .