Penny: Diamond hana chake, nimesha poswa

kajamaa hivi keupe keupe hata sikajui vzr ngoja nipitie IG nkikaona ntakuwekea picha

Kafupi ivi?? Yule anaitwa rumy na alikuwa ni bwana wa shoga ake kipenzi jullie dol yule mimacho, julie alivyojua penny anatoka na bwana ake ndo akamkacha, na sasa ivi huyo julie ana mimba ya rummy miez mitatu na hii ni wik ya tatu sasa
 
Bina mbona Huyo Rummy kila mtu ana mimba yake nasikia ana wanawake kama watatu wana mimba wotee
 
Atakuwa ndo huyo, mfupi mweupe ana vimacho dungu
 
Bina mbona Huyo Rummy kila mtu ana mimba yake nasikia ana wanawake kama watatu wana mimba wotee

Nini mimba? Watoto je? Jamaa kiwembe hatar, madem wanajizalia ili wapate mali tu
 
Hahahaaa penny bwana kwaio hiyo kauli ndio imuumize domo au??? Hajui domo yuko na kitu kipya
 
Kwa hiyo 2014 hali ilikuwa mbaya hivyo nchini Tanzania kiasi kwamba hakuna hata picha!?
 
Posa 2014
Ndoa 2032..

Bongo kila mtu mwizi
 
Back
Top Bottom