Penny ana sura kama mashine ya kusagia unga
Napenda mwanya wake.....ila atulize mshono bibir
ha ha ha mchumba ake alishapata mchambo wa haja IG nlicheka sana mambo ya teamukwelinauwaziMmh!! Andunje nae una shida, kujishaua
kajamaa hivi keupe keupe hata sikajui vzr ngoja nipitie IG nkikaona ntakuwekea pichaYupi tena
kajamaa hivi keupe keupe hata sikajui vzr ngoja nipitie IG nkikaona ntakuwekea pichaYupi tena
kajamaa hivi keupe keupe hata sikajui vzr ngoja nipitie IG nkikaona ntakuwekea picha
Kafupi ivi?? Yule anaitwa rumy na alikuwa ni bwana wa shoga ake kipenzi jullie dol yule mimacho, julie alivyojua penny anatoka na bwana ake ndo akamkacha, na sasa ivi huyo julie ana mimba ya rummy miez mitatu na hii ni wik ya tatu sasa
Atakuwa ndo huyo, mfupi mweupe ana vimacho dunguKafupi ivi?? Yule anaitwa rumy na alikuwa ni bwana wa shoga ake kipenzi jullie dol yule mimacho, julie alivyojua penny anatoka na bwana ake ndo akamkacha, na sasa ivi huyo julie ana mimba ya rummy miez mitatu na hii ni wik ya tatu sasa
Nini mimba? Watoto je? Jamaa kiwembe hatar, madem wanajizalia ili wapate mali tu
Halafu nasikia nae ana kifua.......teh teh teh
Ngoja na mm niwe na wewe sambambaHawa na niliburudika kusoma ya humu JF