Penny: Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

Penny: Diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

OTE="Ms.Lincoln, post: 11571835, member: 101363"]Penny na Wema wote walipigwa mimba wakatoa!!haya ni maneno ya mkosaji...wema kipindi kile alijianika gazeti la uwazi anakula mlenda,alipotoka sauzi na dai kipindi kile episode one akasema alipigwa mpaka ikatoka!!Huyo penny naye aliitwa beb mama akachoropoa!!Tatizo uropokaji wao[/QUOTE]
hahaaa Wema ana Kizazi laini... watu wanachezea kichapo na mimba zinakua na kualiwa!
 
Hao madem kupata mimba ni vgumu wameshachokonoa sana vzazi vyao mpaka vimearibika
 
Kumwambia mwanaume huna uwezo wa kutunga mimba ni sawa na kumwambia huna uwezo wa kupiga mechi. Tusi hili linaweza kumtesa mwanaume miaka na miaka hata kama anauwezo wa kufunga magoli 7 kwenye mechi moja
 
Daah mondi wallaih hajawai kuniangusha kwenye shughuli. Kila anaetokwa na povu lakini lazima akiri kwamba jamaa shughuli anaiweza. Nahisi hiki kitu ndo kinampa upinzani mkubwa bi zarinah, wanaona haiwezekani afaidi protini za jamaa peke yake
 
Hata kama ndomo simpendi ila hapa kuna utata.
Mbona hao wanawake wanatembeza sana nyapu zao! Ina maana na wengine wameshindwa!
Basi kama ni hivyo tuseme wanaume wote ni tasas na wao ndio wazima kwa sababu nimepiga hesabu ya fasta hapa wanaume aliotembea nao Penny wanajaa kwenye bus la SAIBABA la Dar-Nairobi.
Ahahahahaaaq
 
aisee zari anavutia si mchezo ngozi nyorotiii
 
Hata kama ndomo simpendi ila hapa kuna utata.
Mbona hao wanawake wanatembeza sana nyapu zao! Ina maana na wengine wameshindwa!
Basi kama ni hivyo tuseme wanaume wote ni tasas na wao ndio wazima kwa sababu nimepiga hesabu ya fasta hapa wanaume aliotembea nao Penny wanajaa kwenye bus la SAIBABA la Dar-Nairobi.
Hahahahahahahahahahaha
 
Tena sasa ni baba wawili na mama wa wawili amenunuliwa nyumba na swimming pool ndani.
 
Back
Top Bottom